Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Suala la wewe kufanya logical fallacies za argument from tradition si suala la mtazamo wangu tu.Anyway if that is how you see it, I am ok with that, But I was trying to answer/reply your message.
Hivi vitu ni ni upendavyo kila mtu ana mtizamo na maoni yake. Labda yangu hukuyapenda ni mawazo yangu, ni ni kweli sioni tatizo kabisa.
Ukitaka naweza kuchambua hizo fallacies moja baada ya nyingine.
Ni suala na ukweli unaoweza kuchambuliwa logically.
Kwa hiyo usitake kufanya hilo kuwa ni "mtazamo wangu tu".
Lakini labda ndiyo Watanzania wengi mnavyofikiri na mlivyoamua kukumbatia hizo logical fallacies za argument from tradition, argument from authority, na ujinga mwingine kama huo.
Na ndiyo maana hatupigi maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Hatuko serious. Badala ya kukemea ujinga, tunaukubali, tunau rationalize, tuna u explain.
A million flies eat shit. They can't be wrong.