Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

You nailed it, broh! Katiba ndio mwongozo wa sheria na taratibu zingine! Ni sahihi kutaka mabadiliko ya katiba kwanza kabla ya tume huru kwa sababu the later is formed using the former!! Anachosahau Zitto ni kuwa muundo wa Tume ya Uchaguzi uko sahihi kisheria na hauko sahihi kiutendaji. Ni kukosa ubongo kuzungumzia utendaji bila uundwaji wake kwanza!! Hasa ukizingatia ni uundwaji wake unaoleta matatizo ya kiutendaji!

Zitto is soon becoming a spent force!!
 
Ivi raisi akimpa cheo atakataa kuachia ngazi ACT
Huyo si mtu wa Kigoma Kama tumbili?
Hata ukuu wa wilaya huko Maswa dogo anachukua.
Hakuna watu kigeugeu Kama watu wa Kigoma. Kuanzia Kabourou mpaka tumbili mpaka mwepesi.
 
Zitto kachanganyikiwa siku hizi anarushiwa mawe toka kila upande hata simshangai kwa anachoongea.

Bado anatembea na kauli ya mshirika wake Samia aliyesema Katiba Mpya isubiri kwanza, Zitto kwa ujinga wake anadhani anaweza kutudanganya, yule jamaa sijui ni mchawi..
 
NewOrder ulisoma engineering.
 
Achana na Mr Zero, Katiba mpya sio kwa ajili wapinzani, wanasiasia na wanachama tu, Katiba mpya ni kwa Watanzania wote milioni 60 ambao wengi wao hawajui hata kadi za vyama zikoje.
 
Katiba mpya ni blaaa blaaa za Wapinzani kutaka uchochoro wa kupata madaraka kwa njia ya Mkato

Huku Mtaani kwa wapigakura ushaskia kuna hizo mambo?
Achana na Mr Zero, Katiba mpya sio kwa ajili wapinzani, wanasiasia na wanachama tu, Katiba mpya ni kwa Watanzania wote milioni 60 ambao wengi wao hawajui hata kadi za vyama zikoje.
 
Daah hawa ndiyo wanamapinduzi wetu tunao wategemea,bongo kutoboa ngumu
 
Sasa ulikuwa unazunguka zunguka nini kujifanya wapinzani ndio wanakwamisha upatikanaji wa hiyo Katiba Mpya wewe Kalumekenge?
Si ungesema tu hutaki Katiba Mpya.
Katiba mpya ni blaaa blaaa za Wapinzani kutaka uchochoro wa kupata madaraka kwa njia ya Mkato

Huku Mtaani kwa wapigakura ushaskia kuna hizo mambo?
 
All in all, CUF walilidhika nayo.

Kama Zitto huo Ubongo kuliko wenzake basi atuletee huo mfumo wa Tume huru utakaofaa chini ya hii katiba ya Mwalimu ya mwaka 77!!
 
Kwa hiyo CUF au Chadema wakiridhika na muundo wa Tume ndio inakuwa Tume huru ya Uchaguzi?
All in all, CUF walilidhika nayo.

Kama Zitto huo Ubongo kuliko wenzake basi atuletee huo mfumo wa Tume huru utakaofaa chini ya hii katiba ya Mwalimu ya mwaka 77!!
 
Piga kelele lakini Katiba mpya unayotaka wewe huipati
 
Huyu jamaa amekaa kisnichi sana.

Hata muonekano wake unadhihirisha ni ISKARIOTE.

Sijui kama ni binadamu wa kawaida huyu.
 
Kwa hiyo CUF au Chadema wakiridhika na muundo wa Tume ndio inakuwa Tume huru ya Uchaguzi?
Sijamaanisha hivyo bali nimeeleza kilichofanyika ZNZ na wanachotaka kufanya akina Zitto .... binafsi sioni tofauti!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…