Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

Kweli Zitto umefikia uwezo huu mdogo wa kufikiria? Hiyo tumehuru lazima iwe backed na sheria mama ambayo ni katiba, pasipo katiba mpya tume huru sahau.

Kumbuka katiba inasema rais akishatangazwa matokeo hayawezi kupingwa.

Sheria za uchaguzi zipo hovyo na hivyo kupelekea uundwaji wa tume kuwa hovyo.

Tume ni subset ya katiba na katiba sio subset ye tume. Hivyo katiba kwanza ndio tumehuru.

You nailed it, broh! Katiba ndio mwongozo wa sheria na taratibu zingine! Ni sahihi kutaka mabadiliko ya katiba kwanza kabla ya tume huru kwa sababu the later is formed using the former!! Anachosahau Zitto ni kuwa muundo wa Tume ya Uchaguzi uko sahihi kisheria na hauko sahihi kiutendaji. Ni kukosa ubongo kuzungumzia utendaji bila uundwaji wake kwanza!! Hasa ukizingatia ni uundwaji wake unaoleta matatizo ya kiutendaji!

Zitto is soon becoming a spent force!!
 
Ivi raisi akimpa cheo atakataa kuachia ngazi ACT
Huyo si mtu wa Kigoma Kama tumbili?
Hata ukuu wa wilaya huko Maswa dogo anachukua.
Hakuna watu kigeugeu Kama watu wa Kigoma. Kuanzia Kabourou mpaka tumbili mpaka mwepesi.
 
Zitto kachanganyikiwa siku hizi anarushiwa mawe toka kila upande hata simshangai kwa anachoongea.

Bado anatembea na kauli ya mshirika wake Samia aliyesema Katiba Mpya isubiri kwanza, Zitto kwa ujinga wake anadhani anaweza kutudanganya, yule jamaa sijui ni mchawi..
 
You nailed it, broh! Katiba ndio mwongozo wa sheria na taratibu zingine! Ni sahihi kutaka mabadiliko ya katiba kwanza kabla ya tume huru kwa sababu the later is formed using the former!! Anachosahau Zitto ni kuwa muundo wa Tume ya Uchaguzi uko sahihi kisheria na hauko sahihi kiutendaji. Ni kukosa ubongo kuzungumzia utendaji bila uundwaji wake kwanza!! Hasa ukizingatia ni uundwaji wake unaoleta matatizo ya kiutendaji!

Zitto is soon becoming a spent force!!
NewOrder ulisoma engineering.
 
Achana na Mr Zero, Katiba mpya sio kwa ajili wapinzani, wanasiasia na wanachama tu, Katiba mpya ni kwa Watanzania wote milioni 60 ambao wengi wao hawajui hata kadi za vyama zikoje.
Itashauriwa Tusubiri kwanza Wapinzani waelewane ili ndio tuamue ama tuanze na Tume huru au Katiba Mpya na huenda wakaelewana baada ya kuzeeka kwao

Mie nawapenda sana Wapinzani wa Tanzania kama alivyosemaga Mzee Sumaye kazi yao ni kusaidia CCM kutawala
 
Katiba mpya ni blaaa blaaa za Wapinzani kutaka uchochoro wa kupata madaraka kwa njia ya Mkato

Huku Mtaani kwa wapigakura ushaskia kuna hizo mambo?
Achana na Mr Zero, Katiba mpya sio kwa ajili wapinzani, wanasiasia na wanachama tu, Katiba mpya ni kwa Watanzania wote milioni 60 ambao wengi wao hawajui hata kadi za vyama zikoje.
 
Daah hawa ndiyo wanamapinduzi wetu tunao wategemea,bongo kutoboa ngumu
 
Sasa ulikuwa unazunguka zunguka nini kujifanya wapinzani ndio wanakwamisha upatikanaji wa hiyo Katiba Mpya wewe Kalumekenge?
Si ungesema tu hutaki Katiba Mpya.
Katiba mpya ni blaaa blaaa za Wapinzani kutaka uchochoro wa kupata madaraka kwa njia ya Mkato

Huku Mtaani kwa wapigakura ushaskia kuna hizo mambo?
 
Znz haikuwa ba Tume huru ya Uchaguzi…nilishangaa Mwanasiasa kama Godbless Lema kusema Znz walikuwa na Tume huru ya Uchaguzi…kama Mwanasiasa anaepigania katiba Mpya wa level ya Lema hajui tofauti ya Tume huru ya Uchaguzi na Tume yenye wawakilishi wa vyama vya siasa itakuaje kwa wanasiasa wa level ya kina Mdude
All in all, CUF walilidhika nayo.

Kama Zitto huo Ubongo kuliko wenzake basi atuletee huo mfumo wa Tume huru utakaofaa chini ya hii katiba ya Mwalimu ya mwaka 77!!
 
Kwa hiyo CUF au Chadema wakiridhika na muundo wa Tume ndio inakuwa Tume huru ya Uchaguzi?
All in all, CUF walilidhika nayo.

Kama Zitto huo Ubongo kuliko wenzake basi atuletee huo mfumo wa Tume huru utakaofaa chini ya hii katiba ya Mwalimu ya mwaka 77!!
 
Inawezekana ni yeye ndiye asiye na Ubongo halafu anafikiri ni wenzake hawana ubongo.

Tatizo la Zitto, anafikiri kuwa tume huru itawawezesha kupata Wabunge wengi na hao wabunge ndiyo watakaosukuma kuleta Katiba mpya. That's wrong. Katiba ni ya wananchi. Kitendo cha CCM kukubali Tume huru bila katiba mpya wanajua ni wapi walipo na upper hand .... sasa Kijana anajichomeka tu ilimradi arudi mjengoni .... !!

Zanzibar waliunda Tume huru ..... na alichokifanya Jecha wote tunakijua. Labda Zitto ana Ubongo wa kuku amesahau .... maana kuku ukimfukuza hapa anarudi baada ya dakika. Kuku anafanya mambo kwa mazoea!!
Piga kelele lakini Katiba mpya unayotaka wewe huipati
 
Huyu jamaa amekaa kisnichi sana.

Hata muonekano wake unadhihirisha ni ISKARIOTE.

Sijui kama ni binadamu wa kawaida huyu.
 
Kwa hiyo CUF au Chadema wakiridhika na muundo wa Tume ndio inakuwa Tume huru ya Uchaguzi?
Sijamaanisha hivyo bali nimeeleza kilichofanyika ZNZ na wanachotaka kufanya akina Zitto .... binafsi sioni tofauti!!
 
Back
Top Bottom