Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Angetoa maoni kama yako ingekuwa vema sana.Hilo la kuita watu wazima hawana ubongo litamgharimu.Hata hicho kidogo anachokitaka atakwama...Michakato ya kupata Tume Huru na Katiba mpya inatakiwa iende kwa pamoja.
..Hili suala linahitaji MARIDHIANO na sio upande mmoja kushambulia upande mwingine.
..CCM wanataka kutokee ugomvi kati ya Tume Huru vs Katiba mpya ili tufike 2024/25 tukiwa tumekosa vyote.
Who is going fast, yule anayekimbilia bungeni leo au yule anayetaka katiba itakayodumu for dacades.
Sijui Ndio maana nimeulizaHujui?
Jiulize kilichotokea Kenya baada ya kupata katiba waliyonayo Sasa.
Haya mengine ni kutoka mfukoni mwakeMsimamo wa Zitto kutoka moyoni kwake huu hapa😁😁😁
View attachment 2151963
Inabidi utofautishe "kupinga" kunakoonyesha kuwa na dhamira ya kuamini unachopinga na "kupinga' kunakotokana na maslahi au mradi utofautiane na unayepingana naye, hata kama unaona mantiki inakolalia.Wana uhuru wa kutoa mawazo. Wanaotofautiana nao wana haki vile vile ya kuwapinga na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika msimamo wao. Uzuri wa wao kuwa na msimamo huo umewafanya wengi kuchambua kwa dhati dhana ya Tume Huru kabla ya Katiba Mpya. Baadhi yetu tumejifunza mengi kutokana na mjadala huo ambao usingekuwepo kama wote wangekubaliana.
Amandla...
Huyu zitto tatzo lenu mnamchukia t sana sijui aliwafanya nini chadema,Kweli Zitto umefikia uwezo huu mdogo wa kufikiria? Hiyo tumehuru lazima iwe backed na sheria mama ambayo ni katiba, pasipo katiba mpya tume huru sahau.
Kumbuka katiba inasema rais akishatangazwa matokeo hayawezi kupingwa.
Sheria za uchaguzi zipo hovyo na hivyo kupelekea uundwaji wa tume kuwa hovyo.
Tume ni subset ya katiba na katiba sio subset ye tume. Hivyo katiba kwanza ndio tumehuru.
Msimamo wako kuwa anaye kupinga anafanya hivyo kwa sababu ya maslahi yake ( sio dhambi) na kuwa ni mbishi tu kwa asili kunaonyesha hauna nia dhabiti ya kukubali ukweli kuwa na misimamo tofauti sio dhambi. Ingawa unasema kila mtu ana haki kuwa na mawazo tofauti una maanisha kuwa hayo mawazo tofauti lazima yaendane na ya kwako. Hiyo sio demokrasia.Inabidi utofautishe "kupinga" kunakoonyesha kuwa na dhamira ya kuamini unachopinga na "kupinga' kunakotokana na maslahi au mradi utofautiane na unayepingana naye, hata kama unaona mantiki inakolalia.
Hakuna anayenyima yeyote hapa kuwa na uhuru wa kuwa na mawazo tofauti; kama ilivyo haki yake pia kukataa na kutoa maoni juu ya upotofu wa upande wa pili.
Natumaini utanielewa ninachoeleza hapa.
You are right.Sijui Ndio maana nimeuliza
Huyu nae arghhh!!! P'twaaaa!!!" Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" Zitto
Ningeshangaa we jamaa usingekomentiZitto anatafta genji nae kama Gaidi mshtakiwa[emoji28]. Naona kelele zimeshaanza ataropoka we mpaka nae aitwe ikulu!
Ilala Yetu,Huyu zitto tatzo lenu mnamchukia t sana sijui aliwafanya nini chadema,
But yupo sawa kbsa,
Bila kua na wabunge wengi dodoma watakaopush hii agenda hiyo katiba tutaisubiri sana ndugu zangu,kusema katiba ni ya wananchi kwani ccm hawajui hilo..
Hakuna ccm anaetaka katiba mpya..
Mkuu tuhitimishe tu hivi vitu vimepangwa vizuri sana na hapo ndipo ulipo msingi wa utawala wa ccm,Ilala Yetu,
Kwanza mimi sio mwanachadema na sina chuki na yeyote.
Wazo la Zitto haliwwzekaniki kwa sababu ni sawa na kumtangukiza mkokoteni mbele ya farasi.
Tume huru lazima iwe na misingi ya kisheria na misingi hiyo isipingane na sheria mama yaani katiba.
Kwa katiba iliyopo na sheria zake vinashabihiana sasa ukija kubadili sheria za tume pasipo kuibadili katiba haiwwzi kufanya kazi.
Sheria zinasema "iwapo itatungwa sheria na kuonekana inakinzana na sheria mama (katiba) basi katiba itatumika kuamua shauri hilo.
Marekebisho ya sheria ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na tume havitawwza kufanya kazi pasipo kubadili katiba.
Kumbuka mfumo wa sasa wa tume shida sio sheria ya tume bali muundo wake ndivyo ulivyo kwemye sheria mama.
Inawekana kweli wanamchukia .Hapa tatizo nadhani ni hiyo kauli kuwa wanaopinga hawana ubongo ila yeye ndio ana ubongo ukiwa mwanasiasa inabidi uchunge sana ulimi wako usiteleze mara kwa mara.Huyu zitto tatzo lenu mnamchukia t sana sijui aliwafanya nini chadema,
But yupo sawa kbsa,
Bila kua na wabunge wengi dodoma watakaopush hii agenda hiyo katiba tutaisubiri sana ndugu zangu,kusema katiba ni ya wananchi kwani ccm hawajui hilo..
Hakuna ccm anaetaka katiba mpya..
Issue tume haiwezi kuwa huru kama msingi wa sheria haupo kuweka huo uhuru tunaoutaka.Mkuu tuhitimishe tu hivi vitu vimepangwa vizuri sana na hapo ndipo ulipo msingi wa utawala wa ccm,
Sbbu bila tume huru ili kupata wabunge wengi wakupush agenda ni ngumu kupata katiba mpya..
Na tume huru bila kuwepo ndani ya hiyo katiba pia haina meno..
Ukiwaza beyond hivi vitu vimepangwa visije vikatokea.
Tume huru ya uchaguzi imo ndani ya Katiba Pendekezwa, kwa hiyo lazima kwanza Katiba Mpya halafu ndipo ipatikane Tume huru ya uchaguzi" Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" Zitto
Mkuu na huo msingi wa sheria utawekwa na nan sasa,Issue tume haiwezi kuwa huru kama msingi wa sheria haupo kuweka huo uhuru tunaoutaka.
Kwahiyo ACT isipopata wabunge tunasubiri uchaguzi mwingine hadi wapate wabunge wengi.Mkuu na huo msingi wa sheria utawekwa na nan sasa,
Na wabunge wale wale walojaa kule wa chama kimoja,unafkiri wanaweza kuleta hoja kama hizo zitakazohatarisha kula yao,
tukubali hili swala liko complex na jamaa anahoja pia tusimpinge t..