Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Angetoa maoni kama yako ingekuwa vema sana.Hilo la kuita watu wazima hawana ubongo litamgharimu.Hata hicho kidogo anachokitaka atakwama...Michakato ya kupata Tume Huru na Katiba mpya inatakiwa iende kwa pamoja.
..Hili suala linahitaji MARIDHIANO na sio upande mmoja kushambulia upande mwingine.
..CCM wanataka kutokee ugomvi kati ya Tume Huru vs Katiba mpya ili tufike 2024/25 tukiwa tumekosa vyote.