Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

..Michakato ya kupata Tume Huru na Katiba mpya inatakiwa iende kwa pamoja.

..Hili suala linahitaji MARIDHIANO na sio upande mmoja kushambulia upande mwingine.

..CCM wanataka kutokee ugomvi kati ya Tume Huru vs Katiba mpya ili tufike 2024/25 tukiwa tumekosa vyote.
Angetoa maoni kama yako ingekuwa vema sana.Hilo la kuita watu wazima hawana ubongo litamgharimu.Hata hicho kidogo anachokitaka atakwama.
 
Who is going fast, yule anayekimbilia bungeni leo au yule anayetaka katiba itakayodumu for dacades.

Kuna Mfano mmoja umetolewa hapa. Samahani kwa lugha kali itakayotumika ili kuelewesha wahusika. Hebu muulizeni Zitto anapokwenda chooni kujisaidia haja kubwa, anaanza kuchamba kwanza ndio anajisaidia au anajisaidia kwanza ndio anachamba? Ni dhahiri kwamba akichamba kwanza kabla ya shuhuri kubwa atabakiwa na MAVI!!!! Je Zitto ndio
anavyotaka?
Katiba Mpya ndio mzazi wa TUME HURU ya Uchaguzi. Kufikiria vinginevyo ni janja janja ya ccm kutaka kubaki madarakani kwa hila!!
 
Wana uhuru wa kutoa mawazo. Wanaotofautiana nao wana haki vile vile ya kuwapinga na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika msimamo wao. Uzuri wa wao kuwa na msimamo huo umewafanya wengi kuchambua kwa dhati dhana ya Tume Huru kabla ya Katiba Mpya. Baadhi yetu tumejifunza mengi kutokana na mjadala huo ambao usingekuwepo kama wote wangekubaliana.

Amandla...
Inabidi utofautishe "kupinga" kunakoonyesha kuwa na dhamira ya kuamini unachopinga na "kupinga' kunakotokana na maslahi au mradi utofautiane na unayepingana naye, hata kama unaona mantiki inakolalia.

Hakuna anayenyima yeyote hapa kuwa na uhuru wa kuwa na mawazo tofauti; kama ilivyo haki yake pia kukataa na kutoa maoni juu ya upotofu wa upande wa pili.
Natumaini utanielewa ninachoeleza hapa.
 
Kweli Zitto umefikia uwezo huu mdogo wa kufikiria? Hiyo tumehuru lazima iwe backed na sheria mama ambayo ni katiba, pasipo katiba mpya tume huru sahau.

Kumbuka katiba inasema rais akishatangazwa matokeo hayawezi kupingwa.

Sheria za uchaguzi zipo hovyo na hivyo kupelekea uundwaji wa tume kuwa hovyo.

Tume ni subset ya katiba na katiba sio subset ye tume. Hivyo katiba kwanza ndio tumehuru.
Huyu zitto tatzo lenu mnamchukia t sana sijui aliwafanya nini chadema,
But yupo sawa kbsa,
Bila kua na wabunge wengi dodoma watakaopush hii agenda hiyo katiba tutaisubiri sana ndugu zangu,kusema katiba ni ya wananchi kwani ccm hawajui hilo..
Hakuna ccm anaetaka katiba mpya..
 
Inabidi utofautishe "kupinga" kunakoonyesha kuwa na dhamira ya kuamini unachopinga na "kupinga' kunakotokana na maslahi au mradi utofautiane na unayepingana naye, hata kama unaona mantiki inakolalia.

Hakuna anayenyima yeyote hapa kuwa na uhuru wa kuwa na mawazo tofauti; kama ilivyo haki yake pia kukataa na kutoa maoni juu ya upotofu wa upande wa pili.
Natumaini utanielewa ninachoeleza hapa.
Msimamo wako kuwa anaye kupinga anafanya hivyo kwa sababu ya maslahi yake ( sio dhambi) na kuwa ni mbishi tu kwa asili kunaonyesha hauna nia dhabiti ya kukubali ukweli kuwa na misimamo tofauti sio dhambi. Ingawa unasema kila mtu ana haki kuwa na mawazo tofauti una maanisha kuwa hayo mawazo tofauti lazima yaendane na ya kwako. Hiyo sio demokrasia.

Amandla...
 
sasa nyumbu wanaakili kweli ? mmoja akimsifia mbowe woote wanasifia mmoja wapo akimponda mtu woote nyumbu wanaponda hawakai kufikiri na kujadili. wakivuka mto hata kama kuna mamba woote wanavuka hawajali kuliwa
 
Huyu zitto tatzo lenu mnamchukia t sana sijui aliwafanya nini chadema,
But yupo sawa kbsa,
Bila kua na wabunge wengi dodoma watakaopush hii agenda hiyo katiba tutaisubiri sana ndugu zangu,kusema katiba ni ya wananchi kwani ccm hawajui hilo..
Hakuna ccm anaetaka katiba mpya..
Ilala Yetu,
Kwanza mimi sio mwanachadema na sina chuki na yeyote.
Wazo la Zitto haliwwzekaniki kwa sababu ni sawa na kumtangukiza mkokoteni mbele ya farasi.

Tume huru lazima iwe na misingi ya kisheria na misingi hiyo isipingane na sheria mama yaani katiba.

Kwa katiba iliyopo na sheria zake vinashabihiana sasa ukija kubadili sheria za tume pasipo kuibadili katiba haiwwzi kufanya kazi.

Sheria zinasema "iwapo itatungwa sheria na kuonekana inakinzana na sheria mama (katiba) basi katiba itatumika kuamua shauri hilo.

Marekebisho ya sheria ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na tume havitawwza kufanya kazi pasipo kubadili katiba.

Kumbuka mfumo wa sasa wa tume shida sio sheria ya tume bali muundo wake ndivyo ulivyo kwemye sheria mama.
 
Zitto tunaomba majibu kwa hiyo sisi tuliyoshiriki KATIBA mpya ya Jaji Warioba tulikuwa ati nini? Narudia kwa hiyo wote tulioshiriki pia Bunge la Katiba tulikuwa ati nini? rudia tena kauli yako afu tutapekuwa tuone kama hata wakati huo ulitoa maoni kama haya.

Tunarudi kwako ndugu Zitto halijaisha hili.
 
Ilala Yetu,
Kwanza mimi sio mwanachadema na sina chuki na yeyote.
Wazo la Zitto haliwwzekaniki kwa sababu ni sawa na kumtangukiza mkokoteni mbele ya farasi.

Tume huru lazima iwe na misingi ya kisheria na misingi hiyo isipingane na sheria mama yaani katiba.

Kwa katiba iliyopo na sheria zake vinashabihiana sasa ukija kubadili sheria za tume pasipo kuibadili katiba haiwwzi kufanya kazi.

Sheria zinasema "iwapo itatungwa sheria na kuonekana inakinzana na sheria mama (katiba) basi katiba itatumika kuamua shauri hilo.

Marekebisho ya sheria ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na tume havitawwza kufanya kazi pasipo kubadili katiba.

Kumbuka mfumo wa sasa wa tume shida sio sheria ya tume bali muundo wake ndivyo ulivyo kwemye sheria mama.
Mkuu tuhitimishe tu hivi vitu vimepangwa vizuri sana na hapo ndipo ulipo msingi wa utawala wa ccm,
Sbbu bila tume huru ili kupata wabunge wengi wakupush agenda ni ngumu kupata katiba mpya..
Na tume huru bila kuwepo ndani ya hiyo katiba pia haina meno..
Ukiwaza beyond hivi vitu vimepangwa visije vikatokea.
 
Huyu zitto tatzo lenu mnamchukia t sana sijui aliwafanya nini chadema,
But yupo sawa kbsa,
Bila kua na wabunge wengi dodoma watakaopush hii agenda hiyo katiba tutaisubiri sana ndugu zangu,kusema katiba ni ya wananchi kwani ccm hawajui hilo..
Hakuna ccm anaetaka katiba mpya..
Inawekana kweli wanamchukia .Hapa tatizo nadhani ni hiyo kauli kuwa wanaopinga hawana ubongo ila yeye ndio ana ubongo ukiwa mwanasiasa inabidi uchunge sana ulimi wako usiteleze mara kwa mara.
 
Mkuu tuhitimishe tu hivi vitu vimepangwa vizuri sana na hapo ndipo ulipo msingi wa utawala wa ccm,
Sbbu bila tume huru ili kupata wabunge wengi wakupush agenda ni ngumu kupata katiba mpya..
Na tume huru bila kuwepo ndani ya hiyo katiba pia haina meno..
Ukiwaza beyond hivi vitu vimepangwa visije vikatokea.
Issue tume haiwezi kuwa huru kama msingi wa sheria haupo kuweka huo uhuru tunaoutaka.
 
Issue tume haiwezi kuwa huru kama msingi wa sheria haupo kuweka huo uhuru tunaoutaka.
Mkuu na huo msingi wa sheria utawekwa na nan sasa,
Na wabunge wale wale walojaa kule wa chama kimoja,unafkiri wanaweza kuleta hoja kama hizo zitakazohatarisha kula yao,
tukubali hili swala liko complex na jamaa anahoja pia tusimpinge t..
 
Kwahiyo ACT isipopata wabunge tunasubiri uchaguzi mwingine hadi wapate wabunge wengi.
 
Back
Top Bottom