Kwanini usitoe mchango wako tu kama wewe huta nunua labda kuna wengine wata nunua. Kwa uelewa wangu ni kwamba Zitto kashauri tu na ushauri umepokelewa sio kwamba ndio una tekelezwaYaani wanasiasa ni majinga mno
Yaani uuze hisa za Tanesco kampuni haijawahi kutoa faida tangu ianzishwe mwaka 1974?
Yaani mimi muwekezaji niende nikawekeze kwenye upumbavu wenye hasara kila siku?
Lini nitapata gawio?Hakuna hiyo siku mpaka mwisho wa dunia
Zitto na mwenzake Makamba ni mapumbavu,hayajawahi fanya biashara yanaongea mavi matupu
Nani anunue loss generating machine kwa miaka more than 50years?
Nobody
acha tuwe positive kwasababu wazo limeletwa with good intention, nafikiri lazima litajadiliwa kwa maslahi mapana ya Tanzania.Si mpaka wawe accountable...wakihujumu nchi kwa maslahi yao nani wakulaumiwa..ni sawa sawa na kuwinda fisi ndani ya bucha
Naelewa hiyo angle unayoisema, hapa ndipo umuhimu wa kuwa na Bunge lenye meno na CAG kutokupepesa macho.
Kwani tatizo la Tanesco ni mtaji? Yaani wachumi wa nchi hii ni changamoto kweli.
Anazijua taratibu na vigezo vya ku list DSE? Hajiulizi tu kuwa kuna sheria tulitunga ya kulazimisha makampuni yote ya simu ku list DSE (bila kujali kama yana uhitaji wa mtaji ama la) lakini mpaka leo hii ni Voda pekee imefanikiwa? Vipi TTCL na wengine?
Kulazimisha kampuni ku list DSE sio wazo zuri. Ingekuwa ni kampuni profitable au potentially profitable na tatizo ni mtaji, pengine kungekuwa na hoja ya kutaka kulist. But unaenda ku list ili ilipe madeni? Wanasiasa hamuwaonei hata huruma wananchi wa nchi hii? Zipo wapi share za Voda.....ni hasara tupu maana price imeporomoka chini ya ile ya wakati wa IPO....."wajanja" wamepiga mpunga na kusepa zao...!
Inachosha sana.
acha tuwe positive kwasababu wazo limeletwa with good intention, nafikiri lazima litajadiliwa kwa maslahi mapana ya Tanzania.
Tatizo liko hapa, yaani kwa uelewa mdogo wa watu humu hii issue wataipotosha big time. So muhimu ni kwamba yatolewe maelezo ya kina ya maana ya hisa na nini kitarajiwe kwenye hili.We kima nadhani huelewi hata maana ya soko la hisa ni nini
Sio bei gani,issue je hisa zangu nitapata faida gani? Shirika linaendeshwa kijanja janja unategemea nini?Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika.
Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter.
Waziri January Makamba amekubali kupokea ushauri huo.
Kwenu wadau, 20% ya Tanesco ni bei gani?
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika.
Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter.
Waziri January Makamba amekubali kupokea ushauri huo.
Kwenu wadau, 20% ya Tanesco ni bei gani?
Yaani hata mzee Rugemalira hajspumzika wanataka kuturudisha kule kule!Walianza Richmond halafu Dowans kuuzia Tanesco umeme kupitia mikataba mibovu!!
Now they are back to take the all honeypot!!
Waambie wavunje mikataba ya kihuni ili shirika lipate mapato ljiendeshe kwa faidaWazo la kijinga sana kuuza nyumba ya watoto au kuuza mbegu ili kulipa deni.
Badala alete mbinu Tanesco ipate faida ili deni lilipwe kupitia faida yeye anataka tuuze mbegu kulipia deni
Bosi wangu Tanesco inapata hasara kwa Sababu ya mikataba mibovu ya kitapeli ndo tatizo Liko hapo.Vigogo wezi wananufaika kwa njia hiyo na siku hii mikataba ikuvunjwa shirika litaanza kupata faida,hii ishu ni ngumu sana maana walnaufaika ni watu wazito ukionekana unwafatilia unapotezwa.Hivi mnaweza kutufafanulia ni kwa vipi Tanesco inapata hasara?
Kila kitu tunalipia, hii hasara inatokana na nini?
Yaani wanasiasa ni majinga mno
Yaani uuze hisa za Tanesco kampuni haijawahi kutoa faida tangu ianzishwe mwaka 1974?
Yaani mimi muwekezaji niende nikawekeze kwenye upumbavu wenye hasara kila siku?
Lini nitapata gawio?Hakuna hiyo siku mpaka mwisho wa dunia
Zitto na mwenzake Makamba ni mapumbavu,hayajawahi fanya biashara yanaongea mavi matupu
Nani anunue loss generating machine kwa miaka more than 50years?
Nobody
View attachment 1945226View attachment 1945225
TANESCO wanatengeneza hasara kwenye operation tu kabla ya ata kulipa madeni.
So ata ukilipa madeni yao yote bado shirika litatengeneza hasara tu.
Halafu 20% ya hisa itazalisha kiasi, kwa bei ya soko? Lini shirika lilifanyiwa market valuation kuona 20% ya hisa inaweza kukusanya zaidi ya tsh trillioni 5 na zaidi ili kufanya uwekazaji mwingine huyo Zitto aliopendekeza.
Huo ndio wasiwasi wangu kwa Makamba anakuwa na grand ideas bila ya hata kufikilia practicality wakishakutana kule Twitter na wasomi uchwara wengine kutwa kupongezana ujinga.
Kwa vitabu 2018. Tanesco total assets ni trilioni 8.7?!!!!!!View attachment 1945226View attachment 1945225