Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

Yaani wanasiasa ni majinga mno

Yaani uuze hisa za Tanesco kampuni haijawahi kutoa faida tangu ianzishwe mwaka 1974?

Yaani mimi muwekezaji niende nikawekeze kwenye upumbavu wenye hasara kila siku?

Lini nitapata gawio?Hakuna hiyo siku mpaka mwisho wa dunia

Zitto na mwenzake Makamba ni mapumbavu,hayajawahi fanya biashara yanaongea mavi matupu

Nani anunue loss generating machine kwa miaka more than 50years?

Nobody
Kwanini usitoe mchango wako tu kama wewe huta nunua labda kuna wengine wata nunua. Kwa uelewa wangu ni kwamba Zitto kashauri tu na ushauri umepokelewa sio kwamba ndio una tekelezwa
 
Si mpaka wawe accountable...wakihujumu nchi kwa maslahi yao nani wakulaumiwa..ni sawa sawa na kuwinda fisi ndani ya bucha
acha tuwe positive kwasababu wazo limeletwa with good intention, nafikiri lazima litajadiliwa kwa maslahi mapana ya Tanzania.
 
Kwani tatizo la Tanesco ni mtaji? Yaani wachumi wa nchi hii ni changamoto kweli.

Anazijua taratibu na vigezo vya ku list DSE? Hajiulizi tu kuwa kuna sheria tulitunga ya kulazimisha makampuni yote ya simu ku list DSE (bila kujali kama yana uhitaji wa mtaji ama la) lakini mpaka leo hii ni Voda pekee imefanikiwa? Vipi TTCL na wengine?

Kulazimisha kampuni ku list DSE sio wazo zuri. Ingekuwa ni kampuni profitable au potentially profitable na tatizo ni mtaji, pengine kungekuwa na hoja ya kutaka kulist. But unaenda ku list ili ilipe madeni? Wanasiasa hamuwaonei hata huruma wananchi wa nchi hii? Zipo wapi share za Voda.....ni hasara tupu maana price imeporomoka chini ya ile ya wakati wa IPO....."wajanja" wamepiga mpunga na kusepa zao...!

Inachosha sana.

Ni mchanganyiko juu ya mchanganyiko
Magufuli alirudisha Tanesco Utumishi
Makusanyo yanapelekwa hazina .
Halafu wanaomba bajeti ya chochote kile kutoka hazina..
Hata watumishi wengine wanahamishwa kupelekwa Halmashauri n.k..

Sasa katika huo mchanganyiko ulete hili la DSE...pata picha
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Lazima ukose akili na maarifa ndiyo ukanunue hisa za TANESCO. Shirika halijawahi kupata faida hata mwaka mmoja tangu lianzishwe, ukanunue hisa, kwaajili ya nini?
 
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika.

Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter.

Waziri January Makamba amekubali kupokea ushauri huo.

Kwenu wadau, 20% ya Tanesco ni bei gani?
Sio bei gani,issue je hisa zangu nitapata faida gani? Shirika linaendeshwa kijanja janja unategemea nini?
 
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika.

Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter.

Waziri January Makamba amekubali kupokea ushauri huo.

Kwenu wadau, 20% ya Tanesco ni bei gani?

Sasa shirika la Tanesco hata mkaguzi mkuu wanamkwepa hivyo hawapo kwenye ripoti. Leo hii ni sababu gani ya mwekezaji kununua hisa za kampuni ambayo mahesabu yake hayako wazi? Au ni wale wawekezaji ambao hawajui kama mashirika mengine yanayotumia pesa za makato hii sio sawa. Shirika liwe na uwazi kwanza likaguiwe mikataba yote na wawekezaji wajue litaenda vipi kwa hasara maana mikataba mingi ni mibaya sana
 
Walianza Richmond halafu Dowans kuuzia Tanesco umeme kupitia mikataba mibovu!!

Now they are back to take the all honeypot!!
 
Kwa madeni ya Tanesco ni kiasi gani?
Serikali imeshindwa kuyalipa?
Madeni ya Tanesco ni ya muda mrefu. Wakishauza hizo hisa kulipa madeni. Halafu baadae ikarudi kwenye madeni tena. Watauza hisa zilizobakia kulipa madeni??
 
B72B8F6C-FE9B-4CBB-8CC9-607C90F040F3.jpeg
AAB3A24D-86E8-4F75-8F60-26636A10B4DA.jpeg

TANESCO wanatengeneza hasara kwenye operation tu kabla ya ata kulipa madeni.

So ata ukilipa madeni yao yote bado shirika litatengeneza hasara tu.

Halafu 20% ya hisa itazalisha kiasi, kwa bei ya soko? Lini shirika lilifanyiwa market valuation kuona 20% ya hisa inaweza kukusanya zaidi ya tsh trillioni 5 na zaidi ili kufanya uwekazaji mwingine huyo Zitto aliopendekeza.

Huo ndio wasiwasi wangu kwa Makamba anakuwa na grand ideas bila ya hata kufikilia practicality wakishakutana kule Twitter na wasomi uchwara wengine kutwa kupongezana ujinga.

Hatutaki udalali kwenye TANESCO

Tunataka serikali imiliki hisa zote za TANESCO 100%, namna hii maana yake wananchi wote tunaimiliki TANESCO yetu

Hii tabia ya kuuzauza hisa kwenye kila kitu(ambazo zinaenda kuishia mikononi mwa Matajiri wachache anyway) ni tabia ya kukosa ubunifu.

TANESCO is our pride msituletee mambo ya kuuza mashirika muhimu kama alivyofanya Mkapa kwenye benki ya NBC
 
Huyu Zitto ni mtu wa madili tu hamana kitu hapo .Shida ya Tanesco ni mikataba ya kilaghai .Vunjeni hiyo mikataba shirika lipate mapato liweze kijiendesha kwa faida

Duniani kote Huwa Kuna mashirika ya uma ambayo Huwa ni Mali ya Nchi kwa ajili ya Usalama wake kiusalama na kiuchumi,mashirika kama Reli na umeme Huwa ni moyo wa nchi.
 
Wazo la kijinga sana kuuza nyumba ya watoto au kuuza mbegu ili kulipa deni.
Badala alete mbinu Tanesco ipate faida ili deni lilipwe kupitia faida yeye anataka tuuze mbegu kulipia deni
Waambie wavunje mikataba ya kihuni ili shirika lipate mapato ljiendeshe kwa faida
 
Hivi mnaweza kutufafanulia ni kwa vipi Tanesco inapata hasara?

Kila kitu tunalipia, hii hasara inatokana na nini?
Bosi wangu Tanesco inapata hasara kwa Sababu ya mikataba mibovu ya kitapeli ndo tatizo Liko hapo.Vigogo wezi wananufaika kwa njia hiyo na siku hii mikataba ikuvunjwa shirika litaanza kupata faida,hii ishu ni ngumu sana maana walnaufaika ni watu wazito ukionekana unwafatilia unapotezwa.
 
Yaani wanasiasa ni majinga mno

Yaani uuze hisa za Tanesco kampuni haijawahi kutoa faida tangu ianzishwe mwaka 1974?

Yaani mimi muwekezaji niende nikawekeze kwenye upumbavu wenye hasara kila siku?

Lini nitapata gawio?Hakuna hiyo siku mpaka mwisho wa dunia

Zitto na mwenzake Makamba ni mapumbavu,hayajawahi fanya biashara yanaongea mavi matupu

Nani anunue loss generating machine kwa miaka more than 50years?

Nobody

Taratibu mkuu. Hii ni nchi ambayo shirika lake mfu la ndege (ATCL) lilipata faida kubwa na kutoa dividend ya mabilioni mwaka 2020.

Usijeshangaa hizo hisa za TANESCO zikauzwa wakanunua unaowaona “wapumbavu” halafu ukasikia baada ya miaka miwili wamegawiwa mabilioni ya dividend kutoka faida ya “capacity charges”. The guys are wizards with all sorts of accounting gymnastics.
 
View attachment 1945226View attachment 1945225

TANESCO wanatengeneza hasara kwenye operation tu kabla ya ata kulipa madeni.

So ata ukilipa madeni yao yote bado shirika litatengeneza hasara tu.

Halafu 20% ya hisa itazalisha kiasi, kwa bei ya soko? Lini shirika lilifanyiwa market valuation kuona 20% ya hisa inaweza kukusanya zaidi ya tsh trillioni 5 na zaidi ili kufanya uwekazaji mwingine huyo Zitto aliopendekeza.

Huo ndio wasiwasi wangu kwa Makamba anakuwa na grand ideas bila ya hata kufikilia practicality wakishakutana kule Twitter na wasomi uchwara wengine kutwa kupongezana ujinga.

View attachment 1945226View attachment 1945225

TANESCO wanatengeneza hasara kwenye operation tu kabla ya ata kulipa madeni.

So ata ukilipa madeni yao yote bado shirika litatengeneza hasara tu.

Halafu 20% ya hisa itazalisha kiasi, kwa bei ya soko? Lini shirika lilifanyiwa market valuation kuona 20% ya hisa inaweza kukusanya zaidi ya tsh trillioni 5 na zaidi ili kufanya uwekazaji mwingine huyo Zitto aliopendekeza.

Huo ndio wasiwasi wangu kwa Makamba anakuwa na grand ideas bila ya hata kufikilia practicality wakishakutana kule Twitter na wasomi uchwara wengine kutwa kupongezana ujinga.

Kwa vitabu 2018. Tanesco total assets ni trilioni 8.7?!!!!!!
 
Back
Top Bottom