Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Jamaa alienda ulaya kushitaki nchi inyimwe msaada kumbe wapiga kura wake walikuwa wanamcheki tu wanamngonja wamsulubu kisawasawa, ha ha ha.
 
Nguvu iliyomuweka ndio iliyomuangusha.
Acha ubishi, Zitto amechokwa!
Hakuna ukweli labda uwadanganye wenzako sio Mimi....majimbo yaliyokuwa yanatakiwa kwa UDI na ubani mmeyapata likiwemo kgm mjini,usijifariji kwa uongo Mimi nipo kigoma Hali halisi naiona kwa macho yangu sihadithiwi na MTU MZEE.
 
Back
Top Bottom