Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Mcheki BM Camilius anachanja mbuga tu kwa 0.01....
Na hajatumia gharama yoyote na hamna hasara kwake ila kwa ZITTO kalamba dume la HASARAAA😂😂😂
Chezea Kachero mbobezi weee
 
U amaze me kwa kweli, I guess I overrated you to the max. Hauna tofauti na wenzio.

Hvi irregularities zimeongelewa mpaka na observers ila wewe unabisha. Hao US walisema uchaguzi ulikua huru 2015 ila leo wanadai una changamoto lukuki then wewe ulieshiba kuku ukiwa umekunja nne mbele ya Flast screen ndio unadai wapinzani wameshindwa kisa wahudhuriaji mikutano hawapigi kura?

Anyway tuone hilo bunge la chama kimoja litaleta ufanisi gani. Maana majitu meusi hamuelewi bado umuhimu wa checks and balances!! Mnaona upinzani kma mapepo hivi yasiyohitajika duniani.

Mkuu zitto junior ungejibu hoja zangu badala ya madai kuwa overrated you to the max.

Nakushangaa unapoleta na kuamini wanayosema watu wa nje, ati (Hvi irregularities zimeongelewa mpaka na observers ila wewe unabisha ambao hawakushiriki kupiga kura.

Ninaheshimu hoja/maoni yenye uhalisia wa ndani. Kwa mfano ungefanya utafiti wa haraka (rapid assessment) kwa baadhi ya walioshiriki kupiga kura kujua hisia na matarajio yao kuhusu matokeo ya uchaguzi uliomalizika.

Marekani wenyewe walimshutumu Trump kwa kuwatumia Warusi kuharibu uchaguzi wao uliomwingiza madarakani.

Kama ulifurahia kauli na mwenendo wa Wagombea Urais wa CHADEMA na ACTG-Mzalendo basi ujue ulisukumwa na mapenzi juu yao kwa makusudi. Ila makundi yafuatayo yamepiga kura za chuki dhidi yao:
√ Watanzania wapenda amani kwa uchochezi wa wagombea hao. Lakini kiasi kikubwa cha hawa hawakushiriki katika kupiga kura, kama takwimu zinavyojieleza (sehemu nyingi zaidi ya nusu, 50%, ya waliojiandikisha hawakupiga kura);
√ Wanachama wa CCM kwa kauli za kumdharilisha M/kiti wao. Wachache (√ Wafanya biashara ndogo waliopewa vitambulisho walichukia kuambiwa wameuziwa kwa bei kubwa wakati wao ndio wanajua faida za vitambulisho hivyo;
√ Wale waliosikia na kuona maendeleo lakini wakayakebehi ni maendeleo ya vituwalichukia;
√ na mengi tu, ambayo nimeyandika humu JF.

NAOMBA USINILINGANISHE.
 
Acha kuzunguka mkuu jibu swali moja tu
1. Hakuna sehemu mawakala walitolewa?
2. Hizo kura feki walizonazo kina Mdee zimefojiwa? Mtawachukulia hatua gani kwa kufoji karatasi za kura?
3. Madai ya mawakala kutolewa nje ya vituo ni ya uongo?

Ntaattach video hpa (Naisaka ilikua taarifa ya habari itv jana) ya mawakala waliozuiwa Masaki afu mjadala uwe hapo. Coz ukimtoa wakala hta ukishinda kihalali sio irregularity?
 
Mkuu zitto junior ungejibu hoja zangu badala ya madai kuwa overrated you to the max.

NAOMBA USINILINGANISHE.
1. Trump waihisi ila baada ya uchunguzi alikua cleared je nyie mmefanya uchunguzi kwa malalamiko nchi nzima? Sasa unalinganishaje hizo case mbili?

2. Yes most voters expected an incumbent to win by a narrow margin possibly 60:40 ratio or rather 70:30!! But 85:15? No one saw it coming to be honest.

3. Watu kutopiga kura is not a concern kma representative group imetosha kureflect maoni ya general population. Na ndio maana hata kwenye sampling huwa hatuchukui population nzima bali portion tu so hata kma turnout ni below 50% haiwezi kuwa small enough kiasi ishindwe predict maoni ya wengi.

Wwe ni msomi, unafahamu margin of error inakua ndogo jinsi sample inavyozidi kupaa. Sasa 50% bado haitoshi for generalisation? Naomba ujibu hili specifically usikimbilie sera au madhaifu ya Lissu.

I'm in for an objective analysis
 
Zitto mroge Magufuli, hakuna namna.
Unataka wanyama wetu Ikulu wapotezwe?

Zitto alisema anapoteza mpaka panya; pale ikulu sidhani kama kuna panya. Kuna tausi na wanyama wengine, akipulizia nguvu ya giza soko la utalii Ikulu litakufa.
 
Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguzi, jimbo hilo Mwailwa Pangani amesema kura zilizopigwa ni 50268.

Zitto: Licha ya kuingiza kwenye vituo kura zilizokwishapigwa zipatazo 15,850 (kura 50 kila Kituo cha kupigia kura ) nimemshinda Mgombea wa CCM kwa kura 5218. Hata hivyo Mgombea wa CCM katangazwa mshindi kwa tofauti ya kura 7000. Tunafungua ukurasa Mpya wa mapambano ya demokrasia nchini.- Zitto Kabwe.
Akavue migebuka tu, kisiasa Zitto kaishiwa.
 
Hata hasijisumbue atafute kazi tu afanye biashara ya siasa imeangukia hapo
 
1. Trump waihisi ila baada ya uchunguzi alikua cleared je nyie mmefanya uchunguzi kwa malalamiko nchi nzima? Sasa unalinganishaje hizo case mbili?

2. Yes most voters expected an incumbent to win by a narrow margin possibly 60:40 ratio or rather 70:30!! But 85:15? No one saw it coming to be honest.

3. Watu kutopiga kura is not a concern kma representative group imetosha kureflect maoni ya general population. Na ndio maana hata kwenye sampling huwa hatuchukui population nzima bali portion tu so hata kma turnout ni below 50% haiwezi kuwa small enough kiasi ishindwe predict maoni ya wengi.

Wwe ni msomi, unafahamu margin of error inakua ndogo jinsi sample inavyozidi kupaa. Sasa 50% bado haitoshi for generalisation? Naomba ujibu hili specifically usikimbilie sera au madhaifu ya Lissu.

I'm in for an objective analysis

Ukirejea majadiliano yetu ya awali utabaini kuwa unajitahidi kujiondoa mwenyewe kwenye mjadala. Mfano wa Trump nimeutoa kujibu mifano yako ya nchi za nje, unayopenda kutumia badala ya uhalisia wa nchini kwetu, kwa sababu uchaguzi uliomalizika siyo wa kwanza hapa.

Takwimu nilizokuwa nimemtoa hazihusiani kabisa na hicho unachotaka wanaJF wakuelewe, ambacho hutumika kwenye tafiti za kisayansi.

Kwamba, siasa za uchaguzi, kiuhalisia ni kama maji yayotiririka ambayo ufuata mkondo wowote yakielekezwa lakini yakilazimishwa yatafurika na kuleta athari. Na ndicho kilichotokea Uchaguzi Mkuu huu uliomalizika. Lissu, mgombea Urais kupitia CHADEMA, alitaka kulazimisha wapiga kura kuamini upuuzi wake, nao wamemjibu. Nawe umekiri udhaifu wake.

Ni kweli most voters expected an incumbent to win by a narrow margin possibly 60:40 ratio or rather 70:30!! But 85:15? No one saw it coming to be honest. Kwa hii hoja napenda kurudia na kusisitiza kuwa viongozi wa CHADEMA walifanya makosa makubwa kumsimamisha Lissu kama mgombea wao wa Urais wakati wanajua:
√ ni mtu jeuri, mwenye majivuno, haambiliki na mbinafsi wa kutupwa;
√ hana na hatakuwa na nguvu ya kisiasa ya Lowassa iliyokipa CHADEMA wabunge na madiwani wengi kiasi cha kuongoza Halmashauri ya miji mikubwa na kuwa chama kikuu cha upinzani; na
√ alizunguka dunia kuinanga nchi yake itengwe na Jumuiya ya Kimataifa. Kila mpiga kura alilijua hilo.

Itoshe kihitimisha kuwa vyama vya upinzani vijifunze kwa makosa yao wenyewe yaliyotendeka katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika km kutokushirikiana na badala yake kuanza kuumbuana hadharani.
 
Kwa hii hoja napenda kurudia na kusisitiza kuwa viongozi wa CHADEMA walifanya makosa makubwa kumsimamisha Lissu kama mgombea wao wa Urais wakati wanajua:
√ ni mtu jeuri, mwenye majivuno, haambiliki na mbinafsi wa kutupwa;
√ hana na hatakuwa na nguvu ya kisiasa ya Lowassa iliyokipa CHADEMA wabunge na madiwani wengi kiasi cha kuongoza Halmashauri ya miji mikubwa na kuwa chama kikuu cha upinzani; na
√ alizunguka dunia kuinanga nchi yake itengwe na Jumuiya ya Kimataifa. Kila mpiga kura alilijua hilo.

Itoshe kihitimisha kuwa vyama vya upinzani vijifunze kwa makosa yao wenyewe yaliyotendeka katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika km kutokushirikiana na badala yake kuanza kuumbuana hadharani.
Niliwaambia Watanzania wa leo ni smart na wanaelewa hawakaririshwi habari, hao wa Chadema walitoa macho tu!!! Huwezi kuitakia mabaya Tanzania na watanzania wakakuacha hivi hivi wakipata nafasi! Hicho ndicho walichonfanyia Lissu kwenye sanduku la kura.

Asante sana mkuu. Umefafanua vizuri sana.
 
Back
Top Bottom