Mshindaji Member Joined Oct 28, 2020 Posts 38 Reaction score 91 Oct 31, 2020 #181 Ngwanashigi Gagaga said: Hongera sana Komrade kwa kumaliza kazi kwa ufanisi! Click to expand... Shukrani mkuu
Ngwanashigi Gagaga said: Hongera sana Komrade kwa kumaliza kazi kwa ufanisi! Click to expand... Shukrani mkuu
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Oct 31, 2020 #182 Jamaa alienda ulaya kushitaki nchi inyimwe msaada kumbe wapiga kura wake walikuwa wanamcheki tu wanamngonja wamsulubu kisawasawa, ha ha ha.
Jamaa alienda ulaya kushitaki nchi inyimwe msaada kumbe wapiga kura wake walikuwa wanamcheki tu wanamngonja wamsulubu kisawasawa, ha ha ha.
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Oct 31, 2020 #183 Nyani Ngabu said: Ahahahahaaa 🤣🤣🤣🤣 Ajipange tu kwa ajili ya 2025. Click to expand... Labda abadili dira!! Compass anayotumia itampoteza sana huko mbeleni.
Nyani Ngabu said: Ahahahahaaa 🤣🤣🤣🤣 Ajipange tu kwa ajili ya 2025. Click to expand... Labda abadili dira!! Compass anayotumia itampoteza sana huko mbeleni.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Nov 1, 2020 #184 K M said: Nguvu iliyomuweka ndio iliyomuangusha. Acha ubishi, Zitto amechokwa! Click to expand... Hakuna ukweli labda uwadanganye wenzako sio Mimi....majimbo yaliyokuwa yanatakiwa kwa UDI na ubani mmeyapata likiwemo kgm mjini,usijifariji kwa uongo Mimi nipo kigoma Hali halisi naiona kwa macho yangu sihadithiwi na MTU MZEE.
K M said: Nguvu iliyomuweka ndio iliyomuangusha. Acha ubishi, Zitto amechokwa! Click to expand... Hakuna ukweli labda uwadanganye wenzako sio Mimi....majimbo yaliyokuwa yanatakiwa kwa UDI na ubani mmeyapata likiwemo kgm mjini,usijifariji kwa uongo Mimi nipo kigoma Hali halisi naiona kwa macho yangu sihadithiwi na MTU MZEE.