johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa.......adhabu hiyo inawafaa akina Kibajaji na Jah people msomi hafi njaa!Bunge liazimie Zitto azuiwe Vikao vya Bunge mpaka 2025, kwa maana hata akishinda Uchaguzi ujao abaki kwenye kifungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni bonge la mpumbavu!!Ndugai hajui kuwa licha ya Zitto kuwa Mbunge lakini bado ni mwananchi wa Tanzania na anahaki ya freedom of speech na kufanya yote anayoweza kufanya katika kushape maamuzi na sera za serikali ilimradi havunji sheria?.
KWANI ZITTO KAVUNJA SHERIA GANI YA NCHI?
Mabeberu ambao mlipiga magoti kuomba msaada kwao?nyie ni mbuzi jike Sasa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.
My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
badala useme tufunge na kusali huyu jamaa akapumzike wewe unatushauri usumbufu zaidi, wa nini huyu hapa Tanzania??Wananchi tunampokea Zitto kwa shwangwe Ndugai akamezevidonge vyake
Picha yako haiendani na ulicho andika.Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.
My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu ni tishio kwa CCM na Serikali yao,utafikiri ni mbuzi jike kigori(Virgin) na wanaogopa kurukiwa kwa nyuma.Mabeberu ambao mlipiga magoti kuomba msaada kwao?nyie ni mbuzi jike Sasa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Akiwa nje ya bunge hasikilizwi na WB? Si ndo atahamia makao makuu kufanya fitna?Bunge liazimie Zitto azuiwe Vikao vya Bunge mpaka 2025, kwa maana hata akishinda Uchaguzi ujao abaki kwenye kifungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanyeni haraka mumwue washenzi wakubwa nyieZitto ni pandikizi la mabeberu na ni adui wa nchi!
Hivyo Bunge zima limezimwa na ZZK mkiambiwa dhaifu mnarusha ngumiKazi za mbunge zimeanishwa wazi kabisa hiyo ya kuwasiliana na benki ya dunia kwa kutumia Ofisi ya bunge na karatasi yenye nembo ya bunge haimo kwenye kazi za mbunge.
Asingemsikiliza,akithubutu kufanya hivyo(Akimpa nafasi ya kuongelea hiyo Sera Bungeni hata yeye Ndugai angekiona cha moto tokea kwa jiwe na wapambe wake.Nani angemsikiliza? Sana sana angezomewa na wagonga meza. Kwani ni mikataba mingapi ya hovyo imepitishwa pale bungeni? Wapinzani wakipinga na kutaka maboresho wanazomewa na kutolewa nje. Leo hii supika ndiyo anasema angemsilikiliza Zitto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo nalo pia ni kosa jingine kubwa. Barua aliyoiandika hakuwa ametumwa na Bunge, ilikuwa ni yake binafsi, na hakutakiwa kuisaini akiwa anaonyesha kuwa ni Mbunge wa JMT, bali alitakiwa aisaini akiwa anaonyesha kuwa ni Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT. Mandate iliyomfanya aandike barua hiyo ni Uongozi wake ndani ya chama anachokiongoza na si kama Mbunge wa JMT. HIlo ni kosa jingine kubwa, tena kubwa asanaKazi za mbunge zimeanishwa wazi kabisa hiyo ya kuwasiliana na benki ya dunia kwa kutumia Ofisi ya bunge na karatasi yenye nembo ya bunge haimo kwenye kazi za mbunge.
Ndugai hajui kuwa licha ya Zitto kuwa Mbunge lakini bado ni mwananchi wa Tanzania na anahaki ya freedom of speech na kufanya yote anayoweza kufanya katika kushape maamuzi na sera za serikali ilimradi havunji sheria?.
KWANI ZITTO KAVUNJA SHERIA GANI YA NCHI?