Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

There is no agreement yet, the problem ni kwamba you have consumed a lot of propaganda that you cannot think.
😄😄😄😄 Nimeisoma hiyo document,sijui hizo propaganda unazoziongelea. Bunge la CCM litapitisha hilo azimio bovu maana kazi yake ni kuiunga mkono serikali sio kuisimamia .
 
Unaleta upumbavu wako wa twitter huku, tutolee undezi wako na Ziiito wako.
Zitto TV uake ya zenji sikiliza anavyotaka Zanzibar 2035 iwe nchi kamili na kiti chake UN na utajiri kama Singapore jambo hili ni siri ya Wazanzibari wote (Mamlaka Kamili au Zanzibar mpya) Zitto amekodiwa.
 
FYI: Kasome Article 20 of the Agreement sasa, that is not the conclusion, na hakuna mkataba bado, sasa sijui unazungumza kitu gani.
Nikasome au wewe uilete? Naukiza nilichokisoma, wanaposema hatuwezi kuvunja huo mkataba hata Yesu na Mtume Muhammad wakirudi kupiga magoti, wanamaanisha nini kwenye huo mkataba tuliosaini?
 
Focus kwenye hoja za msingi otherwise tutakuwa hatufiki.
..tulitakiwa tuwe wazi malengo yetu kama tunauza bandari, tunaingia ubia, tunakodisha, au tunatafuta management company.

..baada ya hapo turuhusu MCHAKATO / TENDER wa wazi wenye ushindani.

..Kwanini Waarabu watuzuie kusikiliza au kujadiliana na wengine kuhusu mustakabali wa Bandari yetu?
 
Unadhani kauli za Mbowe Juu ya Rais Samia Suluhu na Mh Makame Mbarawa zilikuwa kauli nzuri na zakiungwana?
Kwani kwao wapi hao Watu ? Magufuli alipobomoa Kimara , akawaacha kwao Mwanzo nini kilimkuta humu JF ? hatutacheka na Ngedere
 
Huyo Zitto anapaswa kupuuzwa pia
 
Wewe ni chawa wa mama...
Zito ni mchumia tumbo ndio maana mmewezana
 
kwanini serikali inataka kuingia mkataba na kampuni yenye tuhuma na kesi kwenye nchi mbalimbali ilizowai kufanya kazi za bandari?
Dp world ipo Nchi zaidi ya 80 ndio kampuni kubwa kushinda zote ya Bandari, kwa ukubwa wake kua na kesi ni jambo la kawaida.

Vyema zichunguze Hizo kesi zina Mantiki?

Ukumbuke hawa jamaa hawana Njaa, ni Kampuni kubwa yenye Mapato In Trillions, hivyo wakipewa Bandari Wanawekeza miundombinu ya kufa mtu, mtu anapoweka mashine zake za Matrilioni halafu unampokonya Bandari bila Makubaliano unategemea nini?
 
Ufafanuzi mzuri Zitto tatizo lako ni kuukumbatia Ujamaa uliofeli.
 
Zitto ni mwongo na mlaghai. MoU ilisainiwa Dubai na Samia mwenyewe, hiki kinachojadiliwa ni mkataba very specific uliosainiwa Dadoma na waziri kwa ruhusa ya rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…