Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

mkalamo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
340
Reaction score
359
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.

Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.

Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.

Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga

Your browser is not able to display this video.
 
Pamoja na Jiwe kuondoka bado kuna watu wenye kasumba za hovyo. Za kujiona wao ndiyo wao. Wao ndiyo nchi.

Hii mbaya sana , Tanzania tulifikia kudharaulika na kila muungwana huko ulimwenguni kwa sababu ya mambo kama haya. Kiti tu cha ubunge , kwanini ufanye mambo kama haya?!

Samia Una KAZI
 
Wenye akili nyingi walimwonya huyu Fala kuwa "hawa CCM wamelaaniwa Kwenye wizi wa Kura" lkn alikaza shingo....
chadema sio wajinga mpaka wakatae kushiriki uchaguzi haramu
Zzk ni nyumba ndogo ya ccm
 
Leo Zito Kate kwa na Magufuli wewe kichaa www
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…