Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Chadema wamegoma kushiriki kwa kuwa hawana ushawishi kule , ngoja nikukumbushe

Kwny uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu walisusa kwa kigezo cha uchaguzi huru na wa haki lakin ilipokuja Jimbo la Kinondon wakashiriki, Uchaguzi wa Serikal za mitaa wakasusa na uchaguzi Mkuu wakashiriki

Usiwaamini, ukitokea uchaguzi mdogo Uchagani hawatasusa
Ndio mana chadema wakagoma kushiriki uchaguzi.
 
Ulimboka aling'olewa macho na meno na Magufuli, MWANGOSI allipuliwa na Magufuli, Saa hz watu hawafungi the idiot
Wa Africa hawakupaswa kupewa uhuru. Ikiwa baadhi yao wana mawazo kama yako haya. Kushinda kiti cha ubunge mpaka uwaze kuwaumiza wapinzani wako ?!

Siasa za ki communist na za ki dictator za kipumbavu sana .
 
Pamoja na Jiwe kuondoka bado kuna watu wenye kasumba za hovyo. Za kujiona wao ndiyo wao. Wao ndiyo nchi.

Hii mbaya sana , Tanzania tulifikia kudharaulika na kila muungwana huko ulimwenguni kwa sababu ya mambo kama haya. Kiti tu cha ubunge , kwanini ufanye mambo kama haya ?!.

Samia Una KAZI
Kamanda mwenzangu acha kulalamika hujapata uthibitisho.
 
Back
Top Bottom