Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Karibu CCM ujiunge na mmeo Suleiman!
Nakuona upo kazini kama kawaida yako.
FB_IMG_1555773311437.jpg
 
CCM kwishaaa!! hayo manguvu nguvu na Ubabe ndio the last kick hiyo

Zama za kulazimisha kupendwa kwa kutumia Mapolisi na Vyombo Vya Dola ndio zinaishia hizo
 
34DB6069-3F75-4E14-83FF-05742329F285.png
Umevamiwa,ukapiga na picha,ukatwit,ukapiga simu kwa ocd!aisee hao wavamizi wa miaka hii ni wa dizaini yake...
 
Mama alishatwambia yeye na dhalimu magufuli ni kitu kimoja, hivyo hakuna jipya. Mama mikono yake bado misafi lakini soon itajaa damu ya Watanzania wasio na hatia.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.

Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.

Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.

Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga
 
Wenye akili nyingi walimwonya huyu Fala kuwa "hawa CCM wamelaaniwa Kwenye wizi wa Kura" lkn alikaza shingo....
chadema sio wajinga mpaka wakatae kushiriki uchaguzi haramu
Zitto na CCM ni kitu kimoja ,anatengeneza kiki ili ionekane ameenda Kama mpinzani wa kweli.
 
Back
Top Bottom