Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Wa Africa hawakupaswa kupewa uhuru. Ikiwa baadhi yao wana mawazo kama yako haya. Kushinda kiti cha ubunge mpaka uwaze kuwaumiza wapinzani wako ?!

Siasa za ki communist na za ki dictator za kipumbavu sana .
marekani kutwa wanapigwa risasi watu kama mbwa mbn husemi
 
Zitto na CCM ni kitu kimoja ,anatengeneza kiki ili ionekane ameenda Kama mpinzani wa kweli.
Tu unawajua ninyi mnaolilia viti maalum kisa wake zenu hawajaenda, hamtafurahia lolote zuri lifanywalo na Zitto au ACT na hamtasikitika kwa lolote baya litakalowafika maadam viongozi wenu hawajawapa maelekezo ya vipi muende
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.

Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.

Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.

Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga

Avamiwa au avamia?
 
Hii gari naifahamu mpaka dereva wake, 2020 ilikuwa na no T2020JPM
 
Hili li nchi Lina laana ...na yote hii kuasisiwa na watu kutoka nje ya nchi...wakaleta miroho ya kishetani...
 
Inasadikiwa kuwa na kura zilizokwishapigwa! Kwahiyo unataka na sisi tusadiki?! Upinzani wa Nchi hii una siasa za kijinga sana!
 
Atatoa majibu OCD majamaa wameshazingirwa na wamepelekwa polisi vuta subira juu ya jambo hilo
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.

Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.

Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.

Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga
Ingawaje wao ndio waliovamiwa na gari tatu lkn wanadhan kat ya hizo tat moja wapo wanadhan labda imebeba kura feki
 
Zitto kaona anataka kuaibika.

Jana alikuja na ngoenjera eti helkopta sijui hivinna vile.

Leo tena kaja na senema nyingine
 
1621168418125.png
 
Marekani kutwa wanapigwa risasi watu kama mbwa mbn husemi.
Hawapigani risasi sababu za uchaguzi. Bali mambo ya ubaguzi na uhalifu wa kawaida. Hata Trump alipoleta akili za ki Maghufuli walimdhibiti kupitia katiba. Kwao uchaguzi siyo swala la kufa na kupona.
 
Back
Top Bottom