Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Ila CCM kwa ukongwe wake ni wa kutembea na mapanga kweli? Hebu wabadilike kwani kumpa kila aliye kwenye gari revolver kuna ugumu gani?

Ujue ukiwa na revolver unaweza mwambia mtu wewe usalama wa taifa na akatii sasa ukiwa na panga utasema wewe ni mganga unaenda kuchimba dawa au?
 
Hahahaha wacha watamalizana wenyewe, umesahau Zanzibar?? Usiingilie ugomvi wa ndugu
 
Ila CCM kwa ukongwe wake ni wa kutembea na mapanga kweli? Hebu wabadilike kwani kumpa kila aliye kwenye gari revolver kuna ugumu gani?

Ujue ukiwa na revolver unaweza mwambia mtu wewe usalama wa taifa na akatii sasa ukiwa na panga utasema wewe ni mganga unaenda kuchimba dawa au?
Wako multi purpose na hizo silaha za jadi
 
Zito kawaambie CCM. Sisi ya nini? Snitch mkubwa...Hayatuhusu. hufai kabisa
 
Mimi na MAGUFULI ni kitu kimoja.

Wote sisi ni wezi wa kura na tusiotaka kuwapa watanzania haki yao ya kuamua.... "aliongea ustaadhati mmoja akiwa ndani ya mfungo na hijabu kubwa"....
 
Zito aliamua kushiriki huo uhuni eti ili ccm wamsifie kuwa ana siasa za kistaarabu. Kiukweli ni kuwa ccm imepoteza mvuto, na haina uwezo tena wa kushindana kisiasa zaidi ya kufanya udhalimu. Uzuri sasa hivi wananchi wameshajitambua hivyo hawajitokezi tena kwa wingi kushiriki huo upuuzi.
 
Ikishindikana tutachezea uwekezaji wa SoKA Tu hakuna mtu aliyezaliwa kufikiria dharau... Huo mfumo wanaujua Bora hata ya Simba kupigwa 4. Mengine Yaja watakosa pumzi uwanjani. "Hatuna hadhi ya kucheza hata SoKA"

Kweli ukiwa rais tutazaa watoto wengi na wengi utawarisha vizuri kuongea hela Kwa watu itakuwa kipaumbele kila raheri mheimiwa maana ni kusafiri kila siku maana tutakuwa wengi la sivyo incumbeta ya mwanadamu inatakiwa ili wazaliane Sana, wahazee bar, nyumba za kupanga, gesti la sivyo lawama za kufikiri masaa 24 Kwa baadhi ya watu wengine wale maisha

Unaandika utoto gani hapa jukwaani ww dogo, yaani umejiunga juzi hapa jukwaani ili uje uandike ujinga humu ndani? Pumbavu kabisa.
 
Kwani alidhani kuna kitu gani kilichobadilika? CCM ni ile ile na ndiyo maana CDM wameweka mpira kwapani!!!! Mama kasema yeye na mwendaake ni kitu kimoja. Tusitegemee adeviate sana kutoka kwenye system za mwendazake. CCM ili iendelee kushika dola lazima ifanye inachofanya la sivyo asubuhi tu wanaondoka!!!!
 
Back
Top Bottom