Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Wenzako cdm walivyosusia unadhani hayo hawakuyajua? Pambana na hali yako Mkuu.
Ushasahau kuwa asili ya watu wa kigoma ni unafiki. Alitaka aonekane kuwa yeye na chama chake sio watu wa vurugu bali vurugu huanzishwa na CHADEMA.
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA....
Hiyo gari T195 JV, hii number haijakamilika. Namba zinatakiwa kuwa na herufi tatu (Three alphabetical letters), hapo kuna JV tu......
 
Siasa za zito ni siasa uchwala hana jipya yaani kila uchaguzi ye ni malalamiko tu,Awamu ya sita ni furaha ya watanzania kwenye Tanzania ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja,Raisi wetu chapa kazi unatupa raha sana watanzania.JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ;KAZI IENDELEE.
 
Kufanya jambo lile lile kwa njia ile ile na kitegemea matokeo tofauti ni uhayawani. CCM ni ile ile toka 1977 ilipozaliwa, hata Yesu awe ndiye mwenyekiti, hakuna utofauti utakaotokea.
 
Hivi zito anategemea ushindi huko kweli
[emoji23]

Ova
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA...
Mwenye definition ya uvamizi anisaidie jamani
 
Jiwe muasisi wa uhuni na matendo ya kishenzi alaaniwe.
Legacy yake ya ukatili bado inatenda kazi.
 
Wangekuua kabisa,tunapokwambia hakuna uchaguzi chini ya katiba hii ukakomaa tu!!!jitoe mapema kabla hujavunjwa miguu😟😟
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA...
Act may be ccm waamue kuwachia majimbo Basi but in fair hamwezi kushinda ,WATU Wana hasira Sana KWa jinsi mnavyo kiuka viapo vyenu kwamba leo unasema hili kesho ulichokisema haukiishi.

So tegemea wapinzani wenzenu wa vyama vingine kuwapigia wagombea wa ccm KWa hasira , so hamwezi shinda labda ccm wakiamua kuwaachieni ,iyo ndo fact
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA...
Kama chama kinapendwa kwanini uhangaike na mapanga?
 
Wavamizi wenye nia ya kufanya kitu mbaya watapaki magari yao hapo na wawaruhusu kuyapiga picha yote na plate number zake utafikiri wako kwenye maonyesho ya magari?

Sinema nyingine huwa ni za kitoto sana, afadhali ya Mdee ilikuwa staged way better.
 
Mvamiwe au msivamiwe, mtekwe au msitekwe....Zitto kipigo kipo pale pale...uchizi ni kurudia kufanya kitu kile kile huku ukitegemea kupata majibu tofauti
 
Back
Top Bottom