Sijui nini kimetokea
Ila wamasai hawaukani umasai wao
Na wajaluo hawakani ujaluo wao.
Je Mpango anakiri yeye mhutu/mrundi aliezaliwa Tanzania??
Nikweli mkuu tuonaotoka mipakani ni shida.....unakuta surname yako iko pande zote 2 hapo wanasiasa ndiyo wanatumia adivantejiWatu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Mimi kila siku nayarudi Mangoma ya akina Maiko Jaksoni lakini nashangaa hamnisingizii Umarekani. Kwani nimewakoseeni wapi nyie watu?Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongiozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127
Lamba kwanza uteuzi...Mimi kila siku mayarudi Mangoma ya akina Maiko Jaksini lakini nashangaa hamnisingizii Umarekani. Kwani nimewakoseeni wapi nyie watu?
Kigogo content yake ilikuwa Magufuli, sasa hivi ana struggle kubaki relevant.Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.
Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Nyie akina vero c mnasema kigogo ni makamba, nape, na rizmoko.Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.
Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Bondamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.
Mwambieni kigogo aache uzushi na upotoshaji.
Kweli.Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Naam!Kigogo angekuwa known ingependeza zaidi ili awe liable anapothibitika kumchafua mtu, lakini kujificha kwa fake ID halafu unaropoka ropoka sio fair, Dr. Mpango himself alishasema yeye ni Muha, Kigogo kwa kujaribu ku prove wrong kaweka video Dr. Mpango akicheza ngoma ya "kirundi" na anaowaita ni "warundi", hili peke yake kwangu halitoshi kuthibitisha bila shaka kwamba Dr. Mpango ni Mrundi, kwani kwa kawaida maeneo ya mipakani mara nyingi tamaduni zao hufanana kati ya nchi moja na nyingine, mbaya zaidi Kigogo nae anatumia taarifa za mtu mwingine kutoa hizo shutuma ambapo mtu huyo nae anatumia fake ID.
Wasukuma wamezila wapi hizo raha?Baada ya wasukuma kula rahaa, ifuatayo ni zamu ya waha.
Makamu Ha
CS Ha.
Mimi sijaona u home boy hapo!Namuelewa Zitto. Hii tabia ya tuhuma kwa watu wa pembezoni si ya kuchekea. Zitto lazima ampiganie home boy ...