Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhamiaji ipi?
Wewe unajua aliwahi kamatwa Mkurugenzi wa uhamiaji ambae sio raia??Alikuwa Mmalawi na akashitakiwa mahakamani...
Uhamiaji wangekuwa makini basi Warundi wengi wanaouza machungwa dar wangekamatwa
Hapana, ukigoma wake hauna uhusiano kabisa na hoja.Hizo “sababu zinazotia shaka” ni zipi mkuu? Ni kwa sababu anatokea Kigoma? Ni kwasababu ule wimbo wa Kiha kwa mbaali una rafudhi ya Kirundi!?😅
Anapaswa kusafisha hali gali? Hakuna hoja. Wanaozusha basi waje na credible evidence. Otherwise hii ni wivu wa kike tu
Oh...
Kwa hiyo ni Wasukuma wangapi sasa waliokula hizo raha?
Ni wasio akili na staha pekee ambao hawawezi kasirika kutokana na unyanyapaa huo... Serikali hiihii imewahi kuwaondosha kinguvu raia wake na kuwapeleka DRC ambako walikataliwa maana si raia wa huko haya yalitokea Kigoma hukohuko... haohao waliowanyanyapaa Wakigoma ndio haohao walipata kusema BM ni Mmalawi... ndio haohao walipata kusema...Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Hao Adam na hawa wewe uliwaona wapi?Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Binadamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.
Wanaohoji uraia wake hawahoji kabila, dini, kijiji au mtaa alipotoka
Wanakubali kuwa ni Raia wa Tanzania kwasababu hadi sasa anamiliki passport ya Tanzania. Ni raia
Hoja iliyopo ambayo wengi hawataki kukabiliana nayo ni hii
Je, ni raia wa kuzaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania?
Je, ni raia aliyepewa uraia na kuwa raia wa Tanzania?
Haya ndiyo yanatakiwa kujibiwa na yana public interest kwasababu ni VP
Akiwa VP halafu akaitwa VP mrundi siku tutakapomhitaji kwa dharura yoyote kutakuwa na tatizo
Itabidi athibitishe uraia wake atake asitake. Kabla ya kufika huko Dr Mpango ana nafasi ya ku clear air.
Watu waelezwe nature ya uraia wake! si kumtetea kwa ukigoma! hapanNgurubi
Unajifanya unahoja kumbe ni wivu wakike tuu. Ivi wewe apo ulipo una evidence za uraia wako na nikiomba utaweza kunipa. Mimi nacho ona VP ana majukumu mengi, kuanza kujibu kila hoja ya mtandaoni zitampotezea mda. Kwaio achape kazi, kama pakitokea shida uhamiaji wata fanya kazi yao. Hii nchi awez kuendeshwa na hoja za mitandaoni. Nacho ona anza wewe kutuma evidence za urahia wakoWanaohoji uraia wake hawahoji kabila, dini, kijiji au mtaa alipotoka
Wanakubali kuwa ni Raia wa Tanzania kwasababu hadi sasa anamiliki passport ya Tanzania. Ni raia
Hoja iliyopo ambayo wengi hawataki kukabiliana nayo ni hii
Je, ni raia wa kuzaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania?
Je, ni raia aliyepewa uraia na kuwa raia wa Tanzania?
Haya ndiyo yanatakiwa kujibiwa na yana public interest kwasababu ni VP
Akiwa VP halafu akaitwa VP mrundi siku tutakapomhitaji kwa dharura yoyote kutakuwa na tatizo
Itabidi athibitishe uraia wake atake asitake. Kabla ya kufika huko Dr Mpango ana nafasi ya ku clear air.
Watu waelezwe nature ya uraia wake! si kumtetea kwa ukigoma! hapana!
Akiwa VP halafu akaitwa VP mrundi
Great Thinker achana na hearsay za Facebook au Twitter. Hakuna habari yoyote zaidi ya tweet ya mtu mmoja, basing his argument on a song. What a joke!Hapana, ukigoma wake hauna uhusiano kabisa na hoja.
Kuna habari kuhusu yeye kama ilivyokuwa kwa yule wa Zanzibar. Ni ngumu kupuuzia habari hizo kwa kuzingatia kuwa utetezi unaoletwa ni kuhusu Ukigoma
Kauli kama hizo ndizo zinatia shaka sanaUnajifanya unahoja kumbe ni wivu wakike tuu. Ivi wewe apo ulipo una evidence za uraia wako na nikiomba utaweza kunipa. Mimi nacho ona VP ana majukumu mengi, kuanza kujibu kila hoja ya mtandaoni zitampotezea mda. Kwaio achape kazi, kama pakitokea shida uhamiaji wata fanya kazi yao. Hii nchi awez kuendeshwa na hoja za mitandaoni. Nacho ona anza wewe kutuma evidence za urahia wako
Kuna umuhimu wa kuhoji hili. Ni Raia wa Tanzania, je uraia wake upoje kama VP?
Mrundi anakuwa Mtanzania akiwa Raia. Kwasasa watu wanauliza, je, ni raia wa kuzaliwa au kupewa?Wewe vipi???, you have to restore your sense and ponder on what you write.
Mrundi anakuaje Mtanzania??? au hujui maana ya mtu kuwa Mrundi???
Mfano utasemaje Mkenya ni Mtanzania??
Hakuna ukabila. Hoja ni rahisi sana. Mapngo ni Raia wa TanzaniaYule ni Muha na hata kama ni Muhutu bado hakuna haki ya kuuliza uraia wake kwani kuna wahutu wengi wamo Tz kabla hata ya mipaka ya kikoloni na wapo pia wahutu walioingia kama wakimbizi mwaka 1972 na wamekuwa nationalised na wakatawanywa sehemu mbalimbali nchini, mfano wapo waliopekekwa Mtwara, Katavi, Tabora, Shinyanga nk.
Acheni Ukabila usiokuwa na maana, hamuioni Kenya inavyitaabika na Ukabila??--- cha maana ni utu, uafrika na namna gani mtu alivyosaidia taifa na namna gani atasaidia taifa, kasomeshwa na kodi ya taifa hili leo anaitwa Mrundi ili iweje??, aende Burundi kusaidia huko kwa pesa zetu tulizomsomesha???, nonsense.
Akimjibu kigogo nitagKumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
View attachment 1742127
Huko nyuma nimesema laiti isingelikuwa u-VP wala watu wasingehojiUkabila wa Kenya unaanza kuwambukia watanzania.
Ulikuwa hujui mbowe ni mkenya tena kutoka kabila la Kalejin mchanganyiko na Luhya.Namuunga mkono Zitto Kabwe.
Haya mambo yakienda hivi hata Mbowe mtasema siyo mtanzania ni mmalawi!
Mbona uraia wa Samia hauuhoji?Yes ni Raia wa Tanzania. Dr Mpango anamiliki passport ya Tanzania inayompa uraia
Hoja si kama ni Raia au la. Hoja ni nature ya uraia wake
Je, ni raia wa kuzaliwa ?
Je, ni raia wa kufikia au kupewa?
Hapo ndipo panahitajika ufafanunuzi kwa kuzingatia ni VP na anaweza kuwa President at anytime
Heshima yako mkuu.Great thinker wanaangalia kila jambo kwa hoja zake
Nisaidie hapa tuliache hili jambo
Je, Dr Mpango ni raia wa kuzaliwa Tanzania?
Je, ni raia wa kufikia au kupewa?
Ukinijibu hayo kwa evidence, naachana nalo. Ukinijbu kwa ukigoma tutalishikia bango hili
Kuna kila sababu watu wanafura na kutumia ukigoma. Swali, wanaficha nini?
Ha ha ha ha utaambiwa msomali soonMbona uraia wa Samia hauuhoji?
Hakuna hoja. Hatuwezi kupoteza muda kupropagate uzushi kwa kuwa kuna mtu mmoja katweet (below)Great thinker wanaangalia kila jambo kwa hoja zake
Kigogo mwenyewe mbona anajinasibisha na ukenya. Kwa nini mnampa airtime!Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.
Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani