Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Wajaluo wa kenya, wajaluo wa Tanzania, Wakurya wa kenya, wakurya wa Tanzania,
Wamasai wa Kenya, Wamasai wa Tanzania.
Na wote wana mila na desturi zinazofanana.
Tukianza kutafta mchawi kuna watu hawatabakia..hii dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana.
 
Mwanasheria mkuu wa TBS alifikishwa mahakamani mwaka 2017 kwa makosa ya kutokuwa raia halali!
Uhamiaji ipi?
Wewe unajua aliwahi kamatwa Mkurugenzi wa uhamiaji ambae sio raia??Alikuwa Mmalawi na akashitakiwa mahakamani...

Uhamiaji wangekuwa makini basi Warundi wengi wanaouza machungwa dar wangekamatwa
 
Hizo “sababu zinazotia shaka” ni zipi mkuu? Ni kwa sababu anatokea Kigoma? Ni kwasababu ule wimbo wa Kiha kwa mbaali una rafudhi ya Kirundi!?😅

Anapaswa kusafisha hali gali? Hakuna hoja. Wanaozusha basi waje na credible evidence. Otherwise hii ni wivu wa kike tu
Hapana, ukigoma wake hauna uhusiano kabisa na hoja.

Kuna habari kuhusu yeye kama ilivyokuwa kwa yule wa Zanzibar,
Ni ngumu kupuuzia habari hizo kwa kuzingatia kuwa utetezi unaoletwa ni kuhusu Ukigoma

Kwamba anakingiwa kifua si kwa nature ya uraia wake bali ni mtu kutoka Kigoma.

Hapa panatia shaka hata wale tuliokuwa hatuna shaka. Kwanini hoja ya uraia inajibiwa na ukigoma?

Nimeeleza kuhusu Abdul Nondo ambaye amezima hoja ya uraia kwa vithibitisho
Tulijua ule ulikuwa upuuzi wa serikali ya mwendazake iliyotumia vyombo vya dola hovyo , kwa chuki n.k.

Kitu kimoja, Abdul Nondo alizima hoja ile na haitarudi tena maishani mwake

Tunakubali Dr Mpango ni raia. Tunachotaka kujua ni asili ya uraia wake
Je, ni wa kuzaliwa?
Je, ni wa kupewa?

Kadri hoja hiyo inavyozimwa kwa ukigoma kuna kila sababu ya kutia shaka hasa tukizingatia ni VP

Kwani kuna tatizo gani ku clear hali ya hewa kwa vithibitisho?
 
Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.

Zitto yuko sahihi kukasirika
Ni wasio akili na staha pekee ambao hawawezi kasirika kutokana na unyanyapaa huo... Serikali hiihii imewahi kuwaondosha kinguvu raia wake na kuwapeleka DRC ambako walikataliwa maana si raia wa huko haya yalitokea Kigoma hukohuko... haohao waliowanyanyapaa Wakigoma ndio haohao walipata kusema BM ni Mmalawi... ndio haohao walipata kusema...
Na tujihadhari sana na watu aina hiyo...
 
Wanaohoji uraia wake hawahoji kabila, dini, kijiji au mtaa alipotoka

Wanakubali kuwa ni Raia wa Tanzania kwasababu hadi sasa anamiliki passport ya Tanzania. Ni raia

Hoja iliyopo ambayo wengi hawataki kukabiliana nayo ni hii
Je, ni raia wa kuzaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania?
Je, ni raia aliyepewa uraia na kuwa raia wa Tanzania?

Haya ndiyo yanatakiwa kujibiwa na yana public interest kwasababu ni VP

Akiwa VP halafu akaitwa VP mrundi siku tutakapomhitaji kwa dharura yoyote kutakuwa na tatizo
Itabidi athibitishe uraia wake atake asitake. Kabla ya kufika huko Dr Mpango ana nafasi ya ku clear air.

Watu waelezwe nature ya uraia wake! si kumtetea kwa ukigoma! hapanNgurubi

Wanaohoji uraia wake hawahoji kabila, dini, kijiji au mtaa alipotoka

Wanakubali kuwa ni Raia wa Tanzania kwasababu hadi sasa anamiliki passport ya Tanzania. Ni raia

Hoja iliyopo ambayo wengi hawataki kukabiliana nayo ni hii
Je, ni raia wa kuzaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania?
Je, ni raia aliyepewa uraia na kuwa raia wa Tanzania?

Haya ndiyo yanatakiwa kujibiwa na yana public interest kwasababu ni VP

Akiwa VP halafu akaitwa VP mrundi siku tutakapomhitaji kwa dharura yoyote kutakuwa na tatizo
Itabidi athibitishe uraia wake atake asitake. Kabla ya kufika huko Dr Mpango ana nafasi ya ku clear air.

Watu waelezwe nature ya uraia wake! si kumtetea kwa ukigoma! hapana!
Unajifanya unahoja kumbe ni wivu wakike tuu. Ivi wewe apo ulipo una evidence za uraia wako na nikiomba utaweza kunipa. Mimi nacho ona VP ana majukumu mengi, kuanza kujibu kila hoja ya mtandaoni zitampotezea mda. Kwaio achape kazi, kama pakitokea shida uhamiaji wata fanya kazi yao. Hii nchi awez kuendeshwa na hoja za mitandaoni. Nacho ona anza wewe kutuma evidence za urahia wako
 
Akiwa VP halafu akaitwa VP mrundi

Wewe vipi???, you have to restore your sense and ponder on what you write.

Mrundi anakuaje Mtanzania??? au hujui maana ya mtu kuwa Mrundi???
Mfano utasemaje Mkenya ni Mtanzania??

Yule ni Muha na hata kama ni Muhutu bado hakuna haki ya kuuliza uraia wake kwani kuna wahutu wengi wamo Tz kabla hata ya mipaka ya kikoloni na wapo pia wahutu walioingia kama wakimbizi mwaka 1972 na wamekuwa nationalised na wakatawanywa sehemu mbalimbali nchini, mfano wapo waliopekekwa Mtwara, Katavi, Tabora, Shinyanga nk.

Acheni Ukabila usiokuwa na maana, hamuioni Kenya inavyitaabika na Ukabila??--- cha maana ni utu, uafrika na namna gani mtu alivyosaidia taifa na namna gani atasaidia taifa, kasomeshwa na kodi ya taifa hili leo anaitwa Mrundi ili iweje??, aende Burundi kusaidia huko kwa pesa zetu tulizomsomesha???, nonsense.
 
Hapana, ukigoma wake hauna uhusiano kabisa na hoja.

Kuna habari kuhusu yeye kama ilivyokuwa kwa yule wa Zanzibar. Ni ngumu kupuuzia habari hizo kwa kuzingatia kuwa utetezi unaoletwa ni kuhusu Ukigoma
Great Thinker achana na hearsay za Facebook au Twitter. Hakuna habari yoyote zaidi ya tweet ya mtu mmoja, basing his argument on a song. What a joke!
 
Unajifanya unahoja kumbe ni wivu wakike tuu. Ivi wewe apo ulipo una evidence za uraia wako na nikiomba utaweza kunipa. Mimi nacho ona VP ana majukumu mengi, kuanza kujibu kila hoja ya mtandaoni zitampotezea mda. Kwaio achape kazi, kama pakitokea shida uhamiaji wata fanya kazi yao. Hii nchi awez kuendeshwa na hoja za mitandaoni. Nacho ona anza wewe kutuma evidence za urahia wako
Kauli kama hizo ndizo zinatia shaka sana

Hoja ni moja, je uraia wake ni wa kuzaliwa au wa kupewa?

Kadri watu anavyopandisha povu na kukimbia hoja ndivyo shaka ilipo

Kuna umuhimu wa kuhoji hili. Ni Raia wa Tanzania, je uraia wake upoje kama VP?
 
Kuna umuhimu wa kuhoji hili. Ni Raia wa Tanzania, je uraia wake upoje kama VP?

Uraia wa Tz leo umekuwa na madaraja??--- ni raia wa daraja lipi anapaswa awe Rais, Waziri mkuu au VP??.

Ukabila wa Kenya unaanza kuwambukia watanzania.
 
Wewe vipi???, you have to restore your sense and ponder on what you write.

Mrundi anakuaje Mtanzania??? au hujui maana ya mtu kuwa Mrundi???
Mfano utasemaje Mkenya ni Mtanzania??
Mrundi anakuwa Mtanzania akiwa Raia. Kwasasa watu wanauliza, je, ni raia wa kuzaliwa au kupewa?
Watu hawahoji Utanzania wake kwasababu ana passport
Wanahoji aina ya uraia kwasababu kuna public interest. Akiwa VP kuna sababu za kujua nature ya uraia wake
Yule ni Muha na hata kama ni Muhutu bado hakuna haki ya kuuliza uraia wake kwani kuna wahutu wengi wamo Tz kabla hata ya mipaka ya kikoloni na wapo pia wahutu walioingia kama wakimbizi mwaka 1972 na wamekuwa nationalised na wakatawanywa sehemu mbalimbali nchini, mfano wapo waliopekekwa Mtwara, Katavi, Tabora, Shinyanga nk.

Acheni Ukabila usiokuwa na maana, hamuioni Kenya inavyitaabika na Ukabila??--- cha maana ni utu, uafrika na namna gani mtu alivyosaidia taifa na namna gani atasaidia taifa, kasomeshwa na kodi ya taifa hili leo anaitwa Mrundi ili iweje??, aende Burundi kusaidia huko kwa pesa zetu tulizomsomesha???, nonsense.
Hakuna ukabila. Hoja ni rahisi sana. Mapngo ni Raia wa Tanzania
Je, ni raia wa kuzaliwa ?
Je, ni raia wa kufikia au kupewa?

Akiwa VP hili ni muhimu sana ! umeelewa
 
Yes ni Raia wa Tanzania. Dr Mpango anamiliki passport ya Tanzania inayompa uraia

Hoja si kama ni Raia au la. Hoja ni nature ya uraia wake
Je, ni raia wa kuzaliwa ?
Je, ni raia wa kufikia au kupewa?

Hapo ndipo panahitajika ufafanunuzi kwa kuzingatia ni VP na anaweza kuwa President at anytime
Mbona uraia wa Samia hauuhoji?
 
Great thinker wanaangalia kila jambo kwa hoja zake

Nisaidie hapa tuliache hili jambo

Je, Dr Mpango ni raia wa kuzaliwa Tanzania?
Je, ni raia wa kufikia au kupewa?

Ukinijibu hayo kwa evidence, naachana nalo. Ukinijbu kwa ukigoma tutalishikia bango hili

Kuna kila sababu watu wanafura na kutumia ukigoma. Swali, wanaficha nini?
Heshima yako mkuu.

SIKUJUA KAMA NAWE UNAPENDA USHADADU WA VIHOJA.
 
Great thinker wanaangalia kila jambo kwa hoja zake
Hakuna hoja. Hatuwezi kupoteza muda kupropagate uzushi kwa kuwa kuna mtu mmoja katweet (below)

Wewe unayesema eti kuna habari huyu ni Mrundi nani kakwambia? Umbea na uzushi tu bila evidence.

A7798449-FB0A-4006-9E9D-696CD28E1F81.jpeg
Hii tweet eti ndio chanzo chenu cha habari. Are we serious?
 
Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.

Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Kigogo mwenyewe mbona anajinasibisha na ukenya. Kwa nini mnampa airtime!
 
Back
Top Bottom