MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Kwa hiyo Zitto yeye yuko so sophisticated eeh?
He is so deluded on so many levels!
Kama tungekuwa tumemtelekeza ungejua kama yuko kwenye kibanda cha bati?Yaani mmemtelekeza shujaa kwenye kile kibanda cha bati?
Kama tungekuwa tumemtelekeza ungejua kama yuko kwenye kibanda cha bati?
Ninajua kwako hata akili ya kawaida ni bidhaa adimu!
Kwa akili yako ''kisoda'' huwezi kujua kuwa wakati wa ujenzi lazima uzungushie nyumba ya muda ili kaburi lisiharibike au kuchafuka na vumbi la ujenzi.
Samahani, hili ni jukwaa la watu wenye uelewa wa kiwango cha juu lakini nasikitika unauliza maswali ya akili za watoto wa darasa la tatu au nne!Ooh kwahyo mabati huwa yanakuwa ndani au nje ya ujenzi?
Na yale majani umeshindwa hata kwenda kuyatoa? Siamini kile kinywa kinatafunwa na funza now.
We Fundi si ulisema ACT watashinda hicho kiti…au hukusema?It is beyond belief.
Amandla...
🤣🤣🤣Samahani, hili ni jukwaa la watu wenye uelewa wa kiwango cha juu lakini nasikitika unauliza maswali ya akili za watoto wa darasa la tatu au nne!
Ni vizuri ukatafuta mtu mwenye uwezo wa fikra za chini kama zako ili angalau upate majibu sahihi ya kiwango chako cha ufahamu!
Sipendi nikupotezee muda wako na wangu kwa kujibu maswali yenye fikra za watoto wa darasa la tatu au nne!
Samahani kama nimekukwaza lakini kumbuka hata dawa zingine ni chungu lakini huponya!
Samahani, hili ni jukwaa la watu wenye uelewa wa kiwango cha juu lakini nasikitika unauliza maswali ya akili za watoto wa darasa la tatu au nne!
Ni vizuri ukatafuta mtu mwenye uwezo wa fikra za chini kama zako ili angalau upate majibu sahihi ya kiwango chako cha ufahamu!
Sipendi nikupotezee muda wako na wangu kwa kujibu maswali yenye fikra za watoto wa darasa la tatu au nne!
Samahani kama nimekukwaza lakini kumbuka hata dawa zingine ni chungu lakini huponya!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
An absolute fitting response!
Labda Zitto alifikiri Mwenyekiti mpya wa CCM “ataagiza” Wapinzani waachiwe viti vya ubunge kama zawadi katika ule mwendelezo wa kutaka kufanya vitu tofauti na alivyokuwa akifanya the late JPM
Wrong move. CCM ni wanyongaji daima hata kama mwenyekiti wao awe mtakatifu kiasi gani. Kwa experience mpya waliopata Wakurugenzi wakati wa uchaguzi wa 2020, CCM itaendelea kujizolea viti vyote vya Ubunge tukiendelea hivi.
It doesn’t make sense kuwatumia wafanyakazi wa Serikali (CCM) kama wasimamizi wakuu wa Uchaguzi na wapinzani wakakubali confortably kushiriki kwenye uchaguzi huo. Huu upuuzi upo Tanzania tu
Zito ni Haji Manara wa kwenye siasa. Ni kigeugeu, rangi mbili,na mnafiki. Anaemuamini Zito akapimwe Milembe.Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba.
Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi.
Maelezo haya ameyatoa kwenye akaunti yake. Kwa alichokiandika soma hapo chini.
View attachment 1787975
Zito ni Haji Manara wa kwenye siasa. Ni kigeugeu, rangi mbili,na mnafiki. Anaemuamini Zito akapimwe Milembe.
Amekuuliza swali la msingi, wakati wa ujenzi " bati huwa ndani ya jengo au nje ya jengo linalojengwa???Samahani, hili ni jukwaa la watu wenye uelewa wa kiwango cha juu lakini nasikitika unauliza maswali ya akili za watoto wa darasa la tatu au nne!
Ni vizuri ukatafuta mtu mwenye uwezo wa fikra za chini kama zako ili angalau upate majibu sahihi ya kiwango chako cha ufahamu!
Sipendi nikupotezee muda wako na wangu kwa kujibu maswali yenye fikra za watoto wa darasa la tatu au nne!
Samahani kama nimekukwaza lakini kumbuka hata dawa zingine ni chungu lakini huponya!
A
Amekuuliza swali la msingi, wakati wa ujenzi " bati huwa ndani ya jengo au nje ya jengo linalojengwa???
We unaleta matusi badala ya kujibu maswali ya msingi!
Kwenye msafara wa MAMBA kenge na Mijusi huwa hawakosi, mchukulie kama "K.E.N.G.E" "M.J.U.S.I" 🤣🤣🤣Halafu ananiita sijui darasa la tatu!!