Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba.
Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi.
Maelezo haya ameyatoa kwenye akaunti yake. Kwa alichokiandika soma hapo chini.
View attachment 1787975
Mkuu umesahau kuweka ile tweet yake ya mchana kuwa alitekwa kwa kukamata kura fake.Utata kauleta mwenyewe, baada ya kupoozwa na ccm anakuja na kauli nyingine.
Halafu wakati wa kampeni tulionyeshwa picha za watu kwenye kampeni, mbona hatuoni picha za misururu ya wapiga kura vituoni? Kwa bahati mbaya hata idadi ya wapiga kura haziwekwi ili tupime imani ya wapiga kura kwenye box la kura. Shida iko wapi?