Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
[emoji23][emoji23][emoji23]Samahani najiunga kwenye ugomvi. Jukwaa la watu wenye uelewa wa kiwango cha kawaida na pengine cha chini (maana watu hutofautiana) ni lipi nielekeze. Maana JF kila mmoja anajiona Great thinker, kila mmoja ni matawi ya juu, kila mwanamke au msichana ni mrembo