Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma


Mkuu umesahau kuweka ile tweet yake ya mchana kuwa alitekwa kwa kukamata kura fake.Utata kauleta mwenyewe, baada ya kupoozwa na ccm anakuja na kauli nyingine.

Halafu wakati wa kampeni tulionyeshwa picha za watu kwenye kampeni, mbona hatuoni picha za misururu ya wapiga kura vituoni? Kwa bahati mbaya hata idadi ya wapiga kura haziwekwi ili tupime imani ya wapiga kura kwenye box la kura. Shida iko wapi?
 
A

Amekuuliza swali la msingi, wakati wa ujenzi " bati huwa ndani ya jengo au nje ya jengo linalojengwa???

We unaleta matusi badala ya kujibu maswali ya msingi!
Wewe uliyeweza kulijua swali lake la msingi nisaidie kumpatia jibu la msingi!
 

Mkuu hukuwa na haja ya kupanick, bado hujazoea hoja kinzani
 
Mkuu hukuwa na haja ya kupanick, bado hujazoea hoja kinzani
Mkuu;
Mimi na wewe huwa tunajibishana kwa hoja vizuri tu mpaka tunakubaliana kutokubaliana!

Jiulize kwa nini nimeandika hivyo kwa huyu jamaa? Nadhani utapata jibu sahihi!
 
Zitto akubali changamoto.

Juzi anadanganya watu eti helkopta imeharibika ghafla, hivi Zitto anaona watu ni wajinga?
 
A

Amekuuliza swali la msingi, wakati wa ujenzi " bati huwa ndani ya jengo au nje ya jengo linalojengwa???

We unaleta matusi badala ya kujibu maswali ya msingi!
Hakuna swali hapo, ni mwendelezo wa utopolo tu, we unadhani ujenzi wa ghorofa ama nyumba ya kuishi ni sawa na kujengea kabuli kwa nje? Vipi kama wakitaka kumwaga zege kwa juu, hilo kabuli litabaki kuwa safi na salama?

According to Mwana FA, kabuli halihitaji mbwembwe ndio maana hawaweki AC; Habari ndio hiyo.
 

Ingekua ni mtihani ungesema hakuna swali? Hivi unajua anayepuuza swali ni mpuuzi zaidi ya muuliza swali la kipuuzi?

Someni philosophy
 
Samahani najiunga kwenye ugomvi. Jukwaa la watu wenye uelewa wa kiwango cha kawaida na pengine cha chini (maana watu hutofautiana) ni lipi nielekeze. Maana JF kila mmoja anajiona Great thinker, kila mmoja ni matawi ya juu, kila mwanamke au msichana ni mrembo
 
Respek, chief
 
Kwa hiyo Zitto yeye yuko so sophisticated eeh?

He is so deluded on so many levels!
Mkuu bora huyu Zitto, angalau anaweza kusema akaeleweka, hata akitamka neno tume huru anaweza kueleweka.

Nasema hivyo kwasababu wenzake mambo yao yako safi baada ya kifo cha adui yao yule.

Hata walipoamua kumuunga mkono Samia kwa kutoshiriki uchaguzi ili kumkomoa adui yao na mataga wakaanza kumzodoa Zitto.

Ccm sasa hivi mpinzani wao ni mmoja tu. ACT
 
Waha ni wabinafsi, masnich waliopindukia. Wako so shallow, Zito hawezi kususia uchaguzi ilihali chama chake kinapishana na wanasisiemu kwenye korido za Ikulu ya rais Mwinyi Jr.
Ndiyo maana wapo vile mkuu ni watu wa ajabu sn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii sindano imemuingia huku unampuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…