Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukizingatia dini ya Samia muda si mrefu wataanza vikao vyao Vya misikitini na akina Lipumba Hawa ni watu wa hovyo sana.
Hawa ni wakina nani? Mbona wamisheni tumekuwa tukitumia kanisani kufanyia siasa na "hawa" hawakulalamika? Ulichokisema hakipendezi hata kidogo.

Mhukumu Samia kwa matendo yake sio kwa dini yake. Kama vile haitakuwa haki kusema kuwa Mwendazake alifanya aliyoyafanya kwa sababu alikuwa mmisheni.

Mnakotaka kutupeleka siko.

Amandla...
 
Vyama vyote vya Upinzani vinafanana

Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondini

Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu…nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

Wapinzani, CCM na Wananchi wa Tanzania kwa ujumla sio watu seriuos wa kuamini maneno yao

Hata Watawala waliokebehi kuwa Barakoa ni tambala tu la kuzuia vimate mate sasa hivi hawaachi barakoa popote waendapo
 
Zitto anatakiwa ajitafakari sana. Ni lazima atambue impact ya chama chake kushirikiana na CCM Zanzibar katika kuaminika kwake Bara. Propaganda za hao washamba kumuunganisha na CCM matokeo yake ndio hayo. Watu wameona kwa nini wapigie kura nakala wakati original ipo? Atambue kuwa kwa sasa kimbilio la watu wasiokubaliana na Chama Tawala inaonekana ni hao washamba.

Amekuwa kama wakina Halima ambao pamoja na kujitahidi kuonyesha kuwa bado moyoni ni wapinzani, hamna anaewachukulia serious. Wamegeuzwa vikaragosi ambavyo hamna ane vichukulia serious.

Chama chake kina mvuto Pemba tu. Yeye amekuwa side show.

Amandla...
 
Ooh kwahyo mabati huwa yanakuwa ndani au nje ya ujenzi?

Na yale majani umeshindwa hata kwenda kuyatoa? Siamini kile kinywa kinatafunwa na funza now.
Usiseme hivyo hata kama ulikuwa humpendi,tulio hai tujifunze kupitia kwake
 
Anaconcede kwa kulalama!!!! Aaache hizo!
 
Zitto analazimisha kuogelea kwenye kina kirefu zaidi yake, chama chake bado kichanga hilo halina ubishi, hata zikitokea chaguzi ndogo kumi bila Chadema kushiriki CCM watashinda zote tena kihalali kwa sababu ya udhaifu wa ACT, ni Chadema pekee huwalazimisha CCM kuleta kura kwenye mabegi meusi.
 
Ningeshangaa sana asingeandika hivi na kuungwa mkono na nyie wana Lumumba
 
Ingekua ni mtihani ungesema hakuna swali? Hivi unajua anayepuuza swali ni mpuuzi zaidi ya muuliza swali la kipuuzi?

Someni philosophy
You're such a rubbish philosopher, na upuuzi huu hata hiyo philosophy sidhani kama ingekuwa interesting, yaani uzushi wako niuchukulie kwa uzito wa mitihani ya darasani? You are some kind of joke budah! Anyways, endelea na nyimbo za inge, ninge, tunge....kweli nimeamini dume la lusungo lina mbegu mbili, probably zimeshamwagika, so, apparently Lusungo is impotent.
 
Bara Act mpa mda huu haina chake ijikite vizuri labda Zanzibar, vinginevyo kwisha habari yao watz sio wajinga
 

Tatizo sio zitto, bali tatizo lipo kwa wafuasi wa chadema na viongozi wao. kwanini walazimishe kila wanachokiamini wao kwa kila mtu?

Ninachokiamini mimi nikuwa TZ hakutakua na tume huru lakini CHADEMA watashiriki uchaguzi 2025, halafu hapo ndio utakapokuja kujiuliza hawa watu lile povu lilikua linatokana nanini
 
Kuna tatizo gani kwa Chadema kutaka kila mtu aamini wanachoamini wao? Si ndio maana ya demokrasi? Mimi sidhani kama wana uwezo wa kumlazimisha mtu akubaliane na wanachoamini wao.
Ni kama vile una haki kabisa kuamini kuwa hakutakuwa na tume huru hadi mwaka 2025 ingawa kwa kusema hivyo unakiri kuwa tume iliyopo sio huru. Chadema wakishiriki kwenye huo uchaguzi utakuwa na haki ya kuwabeza maana kweli wataonyesha kuwa ni ndimi kuwili. Lakini kwa sasa hivi hauna haki ya kuwabeza kwa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi wowote hadi hapo tume huru itakapokuwepo. Anayetakiwa kubezwa ni yule aliyesimama nao hadharani na kukubaliana na msimamo lakini mara alipoona kuwa anaweza kufaidika akishiriki akabadilisha msimamo wake kabla hata miezi sita haijapita. Ni haki ya CDM kumpigia kelele lakini ukweli ni kuwa hamna ambacho wanaweza kumfanya. Ndio demokrasi.

Amandla...
 

Msimamo wakutoshiriki uchaguzi ulikua ni msimamo wa kukurupuka, WOte hawakukaa wakapanga kwa utulivo hayo, Na ndio maana ACT baada ya kutulia na kujadiliana ndani ya chama wakaamua kuijiunga na serekali kule Zenj na Bungeni.

Kuwasusia uchaguzi CCM ni kujisumbua tu mana hawashuhuliki kabisa. CCM hawalezi kuleta tume huru kwa kuwasusia

Tume huru haijaanza kudaiwa na CHADEMA, walianza CUF miaka na miaka na hawakufanikiwa.
 
Mbona mnapanic sana Wajane, kunywa maji utulize roho, usishindane na sisi tunaefurahia mtukufu kafa na kuwa mtukufu mfuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tujajua kuna ujenzi unafanyika, ni vile raha tu zimetuzidi,πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½
halafu mtaenda lini kufikiwa mle ili tupunzike kelele za waabudu shetani wa Chato πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo kijana na wenzie huwa hawana hoja zaidi ya udaku.
 
Lakini Fundi…CHADEMA hao hao mbona wameshiriki chaguzi nyingi tu chini ya hii hii tume ambayo wameisusia sasa?

Kama hii tume ya sasa si huru, ina maana tume za 2015, 2010, na 2000 zilikuwa huru?
 
Na hata sasa Mbowe atakuja na kisingizio kingine kitakachohalalisha Chadema kushiriki uchaguzi chini ya tume hii hii mwaka 2025
Lakini Fundi…CHADEMA hao mbona wameshiriki chaguzi nyingi tu chini ya hii hii tume ambayo wameisusia sasa?

Kama hii tume ya sasa si huru, ina maana tume za 2015, 2010, na 2000 zilikuwa huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…