Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

Acha Bla bla kama una ushahidi weka na sio kuokoteza story zenu kwa wanaCUF wa vijiweni na kuleta JF.
Nimeuliza maswali wewe shangazi sijasema ninajua. Au na wewe ndio wale wale Hoya hoya
 
Kuna mtu hafahamu kama zitto ni opportunist? Watanzania tuseme, hapana kwa bandari ya Bagamoyo. Bagamoyo inaweza kuendelezwa kwa vitu vingine vizuri tu na ika shine but kwa bandari, tena mpya huko ni kuua bandari zilizopo hasa bandari ya Dar.

Ni ujinga kufikiria eti unaweza kupata faida ya kitu ambacho hata hujakijenga na kuanza kukidharau kilichopo, kwanini tusiwekeze zaidi kwa kilichopo badala ya kujenga kipya?

Kwanza interms of gharama, kukiendeleza kilichopo is more cheaper than building the new. Sijawahi kumuamini Zitto pamoja na kwamba mengi hua anasema ukweli but ukweli wenye HILA ndani yake.
 
Hilo ndo tatizo lenu.
Kwani hauwezi kutoa mchango wako bila matusi au kumtoa MTU AKILI?.

Hyo bandari itajengwa sababu wanaotetea Wana hoja ila nyie mna matusi
Mpumbavu sana wewe...

Yaani wachina waimiliki bandari kwa miaka hamsini halafu useme bandari ina manufaa?

Hivi nyie watu mmekula mavi au mnaumwa magonjwa?
 
Tanzania kuna bandari ngapi kubwa?
Kuna mtu hafahamu kama zitto ni opportunist? Watanzania tuseme, hapana kwa bandari ya Bagamoyo. Bagamoyo inaweza kuendelezwa kwa vitu vingine vizuri tu na ika shine but kwa bandari, tena mpya huko ni kuua bandari zilizopo hasa bandari ya Dar..
 
Wekeni ile video ya mzee ya mzee alivyokuwa anachambua masharti wakuuu
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania..
Pelekeni mkataba wa Bandari ya Bagamoyo Bungeni ujadiliwe waziwazi kipengele kwa kipangele tujue yaliyomo ili tuwe na sababu yakukubali au kukataa.
 
Kwa gharama ipi , ya kuuza hiyo Bandari kwa wawekezaji.
Bandari gani unauza Bagamoyo? mwekezaji maana yake nini? Mbona sijawahi kusikia wakaweka mikataba mingine waliyoingia hadharani tukaona ila huu wa Bagamoyo unatafuta vifungu viwili witatu kupiga propaganda.

Bandari ijengwe kubwa, viwanda vitafuata, ajira kibao hata tukipata hasara( kama tukipata maana hatuweki pesa yetu) ila kwa miaka ijayo kizazi kijacho watanufaika nayo kwa kuwa itakuwa Bandari imechajipa umaarufu mkubwa.

Bandari ya Dar ni ya kizamani sana huko mbele itakuwa kama ile bandari bubu ya Bagamoyo lazima tuinvest kwa future sio bla bla za TRA tutakosa kodi.

Mwekazaji yoyote ataweka pesa ili arudishe na faida ili wewe uje kufaidikia baadae. Mbona ATCL ukisema hasara wanakumwambia mwanzo hasara kawaida tu na ndege zinachochea uchumi sehemu zingine na Bandari the same itachochea uchumi sehemu zingine.
 
Bandari gani unauza Bagamoyo? mwekezaji maana yake nini? Mbona sijawahi kusikia wakaweka mikataba mingine waliyoingia hadharani tukaona ila huu wa Bagamoyo unatafuta vifungu viwili witatu kupiga propaganda...
Hakuna mradi wa uwekezaji wa uchina halafu wasilete watu wao. Hakuna mtanzania atakaenufaika na ajira pale acha tantalila.Wachina wana kila kitu mpaka cheap labour.
 
Presentation yake ilikuwa nzuri sasa anachotaka ni kuona mkataba, hakuna.mahali aliposema bandari ijengwe kwa huo mkataba maana hajauona ndiyo maana anataka uwekwe wazi kila mtu auone kama ni mbaya basi itafutwe plan B ama renegotiation...
Mbn alie andika hajasema hilo bas kidog nishawish weka hio.video mkuu ya kuonyesha kuwa hakusem ijengw nakuonyesha nia ya kutaka kuona mkataba
 
Mbn alie andika hajasema hilo bas kidog nishawish weka hio.video mkuu ya kuonyesha kuwa hakusem ijengw nakuonyesha nia ya kutaka kuona mkataba
Katafte interview ya clouds 360 ya jana ndipo alipohojiwa. Anatamani ijengwe ila hakusema ijengwe tu anataka kwanza tujue kilichomo ndani ya huo mkataba.

Pili kapendekeza kama hata tukitaka ijenga itabid tuzingatie kuwa zanzibar chini ya raisi mwinyi wameingia mkataba na oman mojawapo wa wadau ambao walikuwa washiriki kwenye ujenzi wa hiyo bandari ya bagamoyo kujenga bandari zanzibar.

Hivyo akapendekeza hatuwezi tena kuwa na bandari ya hivyo zanzibar halafu tena iwepo bagamoyo unless uwepo utaratibi flani wa hizi bandari mbili kufanya kaz kwa ushirikiano.

Msisitizo wake ni mkataba kuwekwa wazi wasiukalie tu ikulu.
 
Hakuna mradi wa uwekezaji wa uchina halafu wasilete watu wao. Hakuna mtanzania atakaenufaika na ajira pale acha tantalila.Wachina wana kila kitu mpaka cheap labour.
Viwanda watanufaika vikijengwa kusema wachina wataleta watu wao ni sawa maana wanaweka pesa zao nyingi tu hata SGR tunakosema pesa zetu bado umesmskia CAG kuwa wafanyakazi wengi ni wageni tu. Wataweka watu na kampuni za ujenzi wanavyoona wao na ziko sheria za nchi katika mambo ya Labour.

Tanzania tunapenda kulalamika sana ujenzi wa barabara tu wanaiba mafuta mpaka basi na jusi Rais kasema wazi tu huwezi kumpangia mtu anayeweka pesa zake watu wa kuajiri katika baadhi ya position na nchi ina sheria za wazi namna ya kubalance ajira basi zifuatwe.

Rais kasema na lazima ifuatwe. kampuni ngapi za wawekezaji wamejaza wageni, nyingi tu maana sisi inawezekana tunaweza ila mkono tunao na hatuaminiki tunaibia mpaka mashirika yetu.
 
Huyu Zitto kilaza sana ,sijuhi kwa nn hata watu wasomi wanarubuniwa na wanasiasa.Kuna mda natamani hata dunia isimame nishuke ila sio kwa kumuamini mtu kama Zitto.🤔
 
Viwanda watanufaika vikijengwa kusema wachina wataleta watu wao ni sawa maana wanaweka pesa zao nyingi tu hata SGR tunakosema pesa zetu bado umesmskia CAG kuwa wafanyakazi wengi ni wageni tu...
Mkataba ule una masharti ambayo ni sawa tu na kuuza nchi kwa Wachina. Kama wanabisha wauweke hadharani.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania....

I Choose To Disagree
 
Zitto hatukuamini tena wewe ni msubiria fursa. Kwa aina ya Mkataba ilivyo hatuutaki. Msichofahamu Zitto Kabwe siyo Mchumi ali Carry labda kama alirudi kumalizia degree.

Kiujumla hiyo Bandari tunaihitaji ila Mkataba tuupitie page kwa page na tafsiri iwekwe wazi
Hatuwezi tukakwamini wewe Zitto Kabwe mzee wa Madili harafu eti Hayati alidanganywa acheni kutuchezea Wapiga madili.

Hawa Watu tunawahitaji lakini siyo kwa aina ya Mkataba waliouleta.
Hapa nimeanza hata kuingiwa na wasiwasi wa Kutumbuliwa kwa Deus Kakoko maana aliutandika vibaya na aliuumbua Mkataba.
 
Mkataba ule una masharti ambayo ni sawa tu na kuuza nchi kwa Wachina. Kama wanabisha wauweke hadharani.
Hivi Tanzania ni Bagamoyo tu? kuuza nchi maana yake nini? kwani ulisikia tunakopa sisi, huu ni uwekezaji sio mkopo sisi kama nchi hatuna uwezo wa kujenga port kubwa ya kisasa najuwa watu wanasema tunayo port Dar ya nini hii, Port ya Dar ina limitation na ya kizamani ni sawa na Airports tulikuwa na Term-1, tukaja 2 na sasa 3 kwa sababu Tech inabadilika. Hizi propaganda tunauza nchi hazina mashiko dunia ni biashara kutoa ki ardhi kijisehemu tu Bagamoyo ndio imekuwa tunauza nchi? tuwe serious kidogo na kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…