Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,122
Nimeuliza maswali wewe shangazi sijasema ninajua. Au na wewe ndio wale wale Hoya hoyaAcha Bla bla kama una ushahidi weka na sio kuokoteza story zenu kwa wanaCUF wa vijiweni na kuleta JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza maswali wewe shangazi sijasema ninajua. Au na wewe ndio wale wale Hoya hoyaAcha Bla bla kama una ushahidi weka na sio kuokoteza story zenu kwa wanaCUF wa vijiweni na kuleta JF.
Mpumbavu sana wewe...
Yaani wachina waimiliki bandari kwa miaka hamsini halafu useme bandari ina manufaa?
Hivi nyie watu mmekula mavi au mnaumwa magonjwa?
Kuna mtu hafahamu kama zitto ni opportunist? Watanzania tuseme, hapana kwa bandari ya Bagamoyo. Bagamoyo inaweza kuendelezwa kwa vitu vingine vizuri tu na ika shine but kwa bandari, tena mpya huko ni kuua bandari zilizopo hasa bandari ya Dar..
Pelekeni mkataba wa Bandari ya Bagamoyo Bungeni ujadiliwe waziwazi kipengele kwa kipangele tujue yaliyomo ili tuwe na sababu yakukubali au kukataa.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania..
Bandari gani unauza Bagamoyo? mwekezaji maana yake nini? Mbona sijawahi kusikia wakaweka mikataba mingine waliyoingia hadharani tukaona ila huu wa Bagamoyo unatafuta vifungu viwili witatu kupiga propaganda.Kwa gharama ipi , ya kuuza hiyo Bandari kwa wawekezaji.
Hakuna mradi wa uwekezaji wa uchina halafu wasilete watu wao. Hakuna mtanzania atakaenufaika na ajira pale acha tantalila.Wachina wana kila kitu mpaka cheap labour.Bandari gani unauza Bagamoyo? mwekezaji maana yake nini? Mbona sijawahi kusikia wakaweka mikataba mingine waliyoingia hadharani tukaona ila huu wa Bagamoyo unatafuta vifungu viwili witatu kupiga propaganda...
Mbn alie andika hajasema hilo bas kidog nishawish weka hio.video mkuu ya kuonyesha kuwa hakusem ijengw nakuonyesha nia ya kutaka kuona mkatabaPresentation yake ilikuwa nzuri sasa anachotaka ni kuona mkataba, hakuna.mahali aliposema bandari ijengwe kwa huo mkataba maana hajauona ndiyo maana anataka uwekwe wazi kila mtu auone kama ni mbaya basi itafutwe plan B ama renegotiation...
Katafte interview ya clouds 360 ya jana ndipo alipohojiwa. Anatamani ijengwe ila hakusema ijengwe tu anataka kwanza tujue kilichomo ndani ya huo mkataba.Mbn alie andika hajasema hilo bas kidog nishawish weka hio.video mkuu ya kuonyesha kuwa hakusem ijengw nakuonyesha nia ya kutaka kuona mkataba
Viwanda watanufaika vikijengwa kusema wachina wataleta watu wao ni sawa maana wanaweka pesa zao nyingi tu hata SGR tunakosema pesa zetu bado umesmskia CAG kuwa wafanyakazi wengi ni wageni tu. Wataweka watu na kampuni za ujenzi wanavyoona wao na ziko sheria za nchi katika mambo ya Labour.Hakuna mradi wa uwekezaji wa uchina halafu wasilete watu wao. Hakuna mtanzania atakaenufaika na ajira pale acha tantalila.Wachina wana kila kitu mpaka cheap labour.
Unaconect vp hii pic na comment yangu sijakupata?
Mkataba ule una masharti ambayo ni sawa tu na kuuza nchi kwa Wachina. Kama wanabisha wauweke hadharani.Viwanda watanufaika vikijengwa kusema wachina wataleta watu wao ni sawa maana wanaweka pesa zao nyingi tu hata SGR tunakosema pesa zetu bado umesmskia CAG kuwa wafanyakazi wengi ni wageni tu...
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania....
I Choose To Disagree
Hivi Tanzania ni Bagamoyo tu? kuuza nchi maana yake nini? kwani ulisikia tunakopa sisi, huu ni uwekezaji sio mkopo sisi kama nchi hatuna uwezo wa kujenga port kubwa ya kisasa najuwa watu wanasema tunayo port Dar ya nini hii, Port ya Dar ina limitation na ya kizamani ni sawa na Airports tulikuwa na Term-1, tukaja 2 na sasa 3 kwa sababu Tech inabadilika. Hizi propaganda tunauza nchi hazina mashiko dunia ni biashara kutoa ki ardhi kijisehemu tu Bagamoyo ndio imekuwa tunauza nchi? tuwe serious kidogo na kujiongezaMkataba ule una masharti ambayo ni sawa tu na kuuza nchi kwa Wachina. Kama wanabisha wauweke hadharani.