Na biashara itakuwa inatusubiri sisi mpaka tuje kupata uwezo au? utasema bahari tunayo sisi tu haya kama haikuja siku tunafuata mzigo Zanzibar.Kama Hatuna Uwezo Wa Kuijenga Wenyewe Ni Bora Tukaiacha Mpaka Tutakapokuwa Na Uwezo Wa Kufanya Hivyo Wenyewe
hivi Bandari ya Zanzibar IPO kwenye equation ya masharti ya wachina!?Kwamba hii Bagamoyo's project ipewe green light kwasababu tu ya kuyaona mameli makubwa ambayo hatujawahi kuyaona?..basi sawa!!!
Achana. na Kicherembalga hakuna anachokijuaViwanda watanufaika vikijengwa kusema wachina wataleta watu wao ni sawa maana wanaweka pesa zao nyingi tu hata SGR tunakosema pesa zetu bado umesmskia CAG kuwa wafanyakazi wengi ni wageni tu. Wataweka watu na kampuni za ujenzi wanavyoona wao na ziko sheria za nchi katika mambo ya Labour.
Tanzania tunapenda kulalamika sana ujenzi wa barabara tu wanaiba mafuta mpaka basi na jusi Rais kasema wazi tu huwezi kumpangia mtu anayeweka pesa zake watu wa kuajiri katika baadhi ya position na nchi ina sheria za wazi namna ya kubalance ajira basi zifuatwe.
Rais kasema na lazima ifuatwe. kampuni ngapi za wawekezaji wamejaza wageni, nyingi tu maana sisi inawezekana tunaweza ila mkono tunao na hatuaminiki tunaibia mpaka mashirika yetu.
Lakini si tuliambiwa meli za mizigo zimepungua Sana kuja kwenye bandari zetu!?..Ayo ma giant yataletwa na nini kinachozuia kuja SASA hivi kama sio kuingia bila kulipa Kodi!? Na je Dar es salaam na Tanga zimelemewa na mizigo?Na biashara itakuwa inatusubiri sisi mpaka tuje kupata uwezo au? utasema bahari tunayo sisi tu haya kama haikuja siku tunafuata mzigo Zanzibar.
Anko nae ntu wa dili huyu sio wakumuaminiKC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Yap mkuu....kama ndo mashart aliyotaja jpm basi huo mradi haufaiUkubwa wa meli hauna faida kama vipengele vya mkataba vinatuumiza.
Kuiba wanaiba tu...ila atutaki wizi usioufaidiasha nchi yetuAfrica is always the victim, nothing is ever our fault. Yaani kila muwekezaji ni mbaya na anataka kutuibia.
Dah KWA hoja yake hiyo kabugi kwelikweliKwamba hii Bagamoyo's project ipewe green light kwasababu tu ya kuyaona mameli makubwa ambayo hatujawahi kuyaona?..basi sawa!!!
Duh Yawezekana maana haya madebe ni level nyingineHawa wametumwa! Hii campaign itakuwa chini ya uratibu wa timu ile ile inayomchafua JPM.
Presentation yake ilikuwa nzuri sasa anachotaka ni kuona mkataba, hakuna.mahali aliposema bandari ijengwe kwa huo mkataba maana hajauona ndiyo maana anataka uwekwe wazi kila mtu auone kama ni mbaya basi itafutwe plan B ama renegotiation.
Pia kasema Oman imeingia mkataba na zanzibar kujenga bandari hivyo kujenga tena hiyo bandari bagamoyo itakuwa haimake sense unless waje na mpango ya jinsi hizo bandari mbili zinavyoweza kufanya kazi kwa pamoja.
Mkuu unamaanisha hayo ndo mashart yote ya mkataba?...Tatizo lenu hamtaki kusikiliza!
Mngekuwa mnasikiliza hoja na kizipima badala ya kupinga tu kwa kuwa mtoa hoja humpendi.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo,ulikuwa ujengwe kwa makubaliano ya uwekezaji wa pande tatu,Tanzania,Oman na China. Wawekezaji wangejenga miundo mbinu ya bandari na industrial parks kwa ajili ya viwanda zaidi ya 800 na kuchukua port charges kwa kipindi cha miaka 50. Serikali haikuyakiwa kutoa hata sumuni! Katika kipindi hicho serikali itachukua kodi zingine mbalimbali kama ushauri wa forodha kama kawaida. Baada ya miaka hiyo, bandari inakuwa mali ya serikali 100%
Utaratibu huu ndio unaotumika hata sasa kwenye bandari ya Dar. Wapo TICTS wanaendesha bandari hiyo.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo unamanufaa makubwa katika uchumi wa Tanzania. Pamoja na kuifanya Tanzania kuwa lango juu la bidhaa kwa zaidi ya nchi 8 za Afrika,unaifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda vya kisasa ambavyo vitahudumia soko la ndani na nchi nyingine za Afrika.
Mradi huu utazalisha ajira nyingi mno katika sekta mbalimbali kama mahoteli, usafirishaji nk.
Kiukweli mtoa hoja sijawai kukutana nae namwona tu kwenye mitandao...pia huwa na heshimu na kuwapenda watu wote hata kama ni adui yangu..coz sina impact yeyote kwenye maisha yakeTatizo lenu hamtaki kusikiliza!
Mngekuwa mnasikiliza hoja na kizipima badala ya kupinga tu kwa kuwa mtoa hoja humpendi.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo,ulikuwa ujengwe kwa makubaliano ya uwekezaji wa pande tatu,Tanzania,Oman na China. Wawekezaji wangejenga miundo mbinu ya bandari na industrial parks kwa ajili ya viwanda zaidi ya 800 na kuchukua port charges kwa kipindi cha miaka 50. Serikali haikuyakiwa kutoa hata sumuni! Katika kipindi hicho serikali itachukua kodi zingine mbalimbali kama ushauri wa forodha kama kawaida. Baada ya miaka hiyo, bandari inakuwa mali ya serikali 100%
Utaratibu huu ndio unaotumika hata sasa kwenye bandari ya Dar. Wapo TICTS wanaendesha bandari hiyo.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo unamanufaa makubwa katika uchumi wa Tanzania. Pamoja na kuifanya Tanzania kuwa lango juu la bidhaa kwa zaidi ya nchi 8 za Afrika,unaifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda vya kisasa ambavyo vitahudumia soko la ndani na nchi nyingine za Afrika.
Mradi huu utazalisha ajira nyingi mno katika sekta mbalimbali kama mahoteli, usafirishaji nk.
Victim mentality inatukocost sanaAfrica is always the victim, nothing is ever our fault. Yaani kila muwekezaji ni mbaya na anataka kutuibia.
Kweli sijaona upumbavu kama huu. Turuhusu mradi fisadi tuingie utumwani kwa sababu tunataka kuona mameli makubwa!. Foolish!.Kwamba hii Bagamoyo's project ipewe green light kwasababu tu ya kuyaona mameli makubwa ambayo hatujawahi kuyaona?..basi sawa!!!
Tena inaonekana hawa watu wana common elements na wamekubaliana kufanya kweli ili waimarishe mizizi!.Hawa wametumwa! Hii campaign itakuwa chini ya uratibu wa timu ile ile inayomchafua JPM.