Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

Hilo pia kalisema kuwa Oman ambao walikuwa washiriki kwenye huo mradi sasa hivi wanajenga zanzibar hivyo hatuwezi tenakujenga hiyo bandari labda watafute jinsi gani bandari kama wakiamua kujega zitakavyoweza kushirikiana kufanya kazi kwa pamoja.
Mnaomponda hamkumsikiliza laiti mngesikiliza msingekuwa mnamponda hapa.
TUNAMPONDA KWASABABU YA UNAFIKI WAKE!!! ANAFIKIRI KUWA YEYE NDIO MCHUMI PEKE YAKE NCHINI!
 
Ni kijana aliyesoma uchumi lakini hajawahi kutumia elimu hiyo. Wakati anasema hayo lazima aelewe umuhimu Wa Durban ktk Afrika. Huwezi kuwa na matumaini ya muwekezaji eti meli kubwa zitakuja hapo Utadhani dunia nzima itatawaliwa na China. East Africa ina nchi 6 au saba ukiweka na visiwa vya Seychelles. Yaani Spain ilete bidhaa afrika ilazimike kuja Bagamoyo bila sababu wakati inapeleka bidhaa Durban! Wao wanataka kuiteka TZ na madini yake na ndo maana wanataka kukamata bandari zingine za TZ ziwe kwao.
We ndiyo wawaza hivyo lakini kumbua China ndiye exporter mkubwa duniani nani kwanini meli iende mpaka China kama inaweza chukua mzigo huo huo bagamoyo ikarudi ilipotoka.
 
Pole kaka! China ni exporter mkubwa wa kitu gani kuja africa? Francophone wote bado husikiliza France inawaambia nini?
 
TUNAMPONDA KWASABABU YA UNAFIKI WAKE!!! ANAFIKIRI KUWA YEYE NDIO MCHUMI PEKE YAKE NCHINI!
Pinga hoja zake maana katika ya aliyosema hakuna ulilopinga kwa hoja maana hata yeye akiri kilichomo hakijui kwenye mkataba hata yeye angependa kujua kilichomo.
Ila presentation na ufanyaji kazi wa bandari ndicho alichoona na ndicho kazungumzia. Sasa wewe hata presentation hujaona, mkataba kama alivyo zitto hujaona pia
 
Basi tena!! Investment imesha hamia Zanzibar, bakini na hilo pori lenu la Chatu huko Mbegani mkapige ramli!!
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360

Shida yetu si kuona meli. Tunataka mkataba ambao hautatuuza. Wana siasa, akiwemo Zitto hawaaaminiki. Wanajari zaidi maslahi binafsi
 
Africa is always the victim, nothing is ever our fault. Yaani kila muwekezaji ni mbaya na anataka kutuibia.
Mkuu si unafahamu sifa za kuwa mbunge, na pia nguvu na mamlaka ya bunge.

Hapa hawa kuwa subjective ni kitu muhimu kuliko kuwa objective kwa ajili ya matumbo yao.
 
Pole kaka! China ni exporter mkubwa wa kitu gani kuja africa? Francophone wote bado husikiliza France inawaambia nini?
Read between the lines. Kazi ya hiyo bandari haikuwa kwa ajili ya bidhaa za Tnzania tu. Ilikuwa ni mizigo inashushwa pale halafu meli zinabeba na kusambaza kunakohitajika iwe Afrika ama kwingineko.
Hapa la msingi na yeye alichoomba ni mkataba uwekwe wazi kuliko tu kukaa ikulu tukawa tunasikia sikia tu
 
Haina tofauti nanyule anayejisifia baba ana iphone wakati nyumbani mnalala njaa. ukubwa wa meli utatusaidia nini kama nchi haineemeki na bandari.
 
Pinga hoja zake maana katika ya aliyosema hakuna ulilopinga kwa hoja maana hata yeye akiri kilichomo hakijui kwenye mkataba hata yeye angependa kujua kilichomo.
Ila presentation na ufanyaji kazi wa bandari ndicho alichoona na ndicho kazungumzia. Sasa wewe hata presentation hujaona, mkataba kama alivyo zitto hujaona pia
NADHANI UNGEKUWA UNAFUATILIA NINACHOANDIKA UNGEJUA KUWA NIMEKUWA NAMPINGA KWA HOJA!! NAONA HUJUI MAANA YA HOJA.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360
Hoja za ajabu kabisa
 
Shida yetu si kuona meli. Tunataka mkataba ambao hautatuuza. Wana siasa, akiwemo Zitto hawaaaminiki. Wanajari zaidi maslahi binafsi
Mwenyewe kasema hajawahi kuuonanaanataka wauweke wazi kila mtanzania aone wataalam wauchambue.
Wengi hamkumsikiliza ila zitto kalizungumzia hili suala vizuri we tafuta interview umskilize.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360
Kuna Bandari MTWARA ina kina kirefu ambacho kipo kiasili,hatuwezi kutumia nguvu nyingi kuendeleza!
Naona bandari zingine muhimu zinapotezewa bila kutengenezewa mkakati
 
Mwenyewe kasema hajawahi kuuonanaanataka wauweke wazi kila mtanzania aone wataalam wauchambue.
Wengi hamkumsikiliza ila zitto kalizungumzia hili suala vizuri we tafuta interview umskilize.

Mkataba uwe wazi na unajari sovereignty ya Taifa letu
 
Jamaa ni opportunistic
Mkuu hebu weka hisia zako pembeni kaskilize nina hakika hujasikiliza alichosema ukimsikiliza utagundua ulikuwa umewaza tofauti. Hakuna sehemu aliposema bandari ijengwe kwa mkataba uliyopo maana hata yeye kasema hakuna aliyewahi kuona huo mkataba mbali na ikulu na angependa uwekwe wazi watu wajadili.
Hayo ya kusema meli kubwa ma bandari kuwa ya tatu kwa ukubwa duniani alionhelea presentation wao kama wabunge waliyooneshwa. Lakini mkataba serikali specifically ikulu mpaka leo haikuwahi kuuweka wazi.
 
Back
Top Bottom