Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

Ndungai alisema alikwenda China akaonyeshwa eti presentation akahitimisha ni uwekezaji mzuri. Hivi uwekezeaji mzuri hujulikana kwenye presentation? Uzuri wa uwekezaji uko kwenye mkataba. Huu mradi ni China na Oman wanashirikiana. Hawa ni vinara wa kugawa rushwa duniani. Nina uhakika wengi wanaopigia debe huu mradi wameahidiwa kitu. Jaribu kuangalia aina ya watu wanaopigania huu mradi na tabia zao.
Hata Zitto aliona presentation ndiyo akajua ile bandari itakuwa ya tatu kwa ukubwa dunianj, ni kwa ajili ya meli kubwa kushusha mizigo na meli hizi tulizozoea kuzichukua pale na kuzisambza huko kwingine.
Hiyo presentation na masterplan anakili kabisa kuwa ni nzuri sana. Ila sasa mkataba hawakuwahi kuuona serikali haikuwahi hata kuupeleka bungeni zaidi ya tulichosikia kutoka kwa Hayati. Hivyo ndiyo maana hata yeye hakutaka kuujadili ila akasema itakuwa vizuri uwekwe hadharani wataalam wauchambue tuone mabaya na uzuri wake kama tunaukataa tuukatae kabisa kama tunaweza kuijenga kwa pesa ya ndani tujenge japo kasema kwa ukunwa wa bandari ile nchi kama nchi haiwezi kuijenga peke yake. Maana unaweza kuimagine bandari ambayo ingekuwa ya 3 kwa ukubwa duniani itagharamu tillions of tshs
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360
Zitto anataka kuleta story zile za wajinga wanao jitamba kisa wamepiga picha na mzungu.

JPM hakukataa bandari bali alipiga chini sababu ya terms zilio kwenye mkataba.Ila hatuja chelewa huo mkataba uwekwe wazi,wabunge waujadili baadae tufanye maamuzi.

Haya maswala ya kujisifia ,tunapokea mimeli mikubwa alafu mifukoni hatuna kitu ni ujinga.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360
Ni sawa bandali ya Bagamoyo yatakuja mameli makubwa makubwa Lakini kumbuka pia mapato yote yatakayo tokana na hiyo bandali yatakuwa ni ya wachina kwa muda wa miaka 200
 
Kwamba hii Bagamoyo's project ipewe green light kwasababu tu ya kuyaona mameli makubwa ambayo hatujawahi kuyaona?..basi sawa!!!
Hahahaa ndio wasomiwetu hao mkuu, wanafikiri kuhusu matimboyaotu na kutakasifa za kijinga kamahizo za kuangalia tu mameli makubwa.
 
Hata Zitto aliona presentation ndiyo akajua ile bandari itakuwa ya tatu kwa ukubwa dunianj, ni kwa ajili ya meli kubwa kushusha mizigo na meli hizi tulizozoea kuzichukua pale na kuzisambza huko kwingine.
Hiyo presentation na masterplan anakili kabisa kuwa ni nzuri sana. Ila sasa mkataba hawakuwahi kuuona serikali haikuwahi hata kuupeleka bungeni zaidi ya tulichosikia kutoka kwa Hayati. Hivyo ndiyo maana hata yeye hakutaka kuujadili ila akasema itakuwa vizuri uwekwe hadharani wataalam wauchambue tuone mabaya na uzuri wake kama tunaukataa tuukatae kabisa kama tunaweza kuijenga kwa pesa ya ndani tujenge japo kasema kwa ukunwa wa bandari ile nchi kama nchi haiwezi kuijenga peke yake. Maana unaweza kuimagine bandari ambayo ingekuwa ya 3 kwa ukubwa duniani itagharamu tillions of tshs
Sawa mkuu lakini hata ingekuwa ya kwanza kuna faida gani kama tunauza nchi? Vitu vingine inabidi watu waangalia kwa mapana na marefu. BTW walishatishia siku nyingi kuwa hao wawekezaji wameshaondoka kujenga sehemu nyingine lakini nashangaa kumbe bado wanafukuzia. Hivi faida kwa nchi ingekuwa nzuri kihivyo Tanzania tangu Tanzania waanze kusuasua kuhusu huu mradi si ungekuta nchi nyingine zimeshawachukuwa? Kwani Tanzania ndiyo nchi pekee yenye bandari Afrika? Chema cahajiuza, kibaya chajitembeza. All in all uwekwe wazi huo mkataba kama wana nia njema. Tuwe makini tutajikuta siku sijazo tuna vikosi vya kupigania ardhi ya Tanzania iliyoporwa. Na wawekezaji wa mradi mkubwa kama huo hawaingii hivi hivi. Wanahakikisha watakuwa na uwezo wa ku-influence uchaguzi wa nchi husika ili asipatakine rais atakayewageuka. Anyways sioni wa kuuzuia tena huu mradi baada ya Magufuli kuondoka. Ndiyo maana unaona wameshajitokeza watu wanaopiga kelele mara hii.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360
Kwa iyo bagamoyo port itakua kama durban maana hapo ndio centre ya meli nyingine kupokea mizigo na kusambaza huko duniani....
 
Zitto huwaga mpiga debe wa mabeberu tu hata sinshangai, hii meli kubwa kiasi gani istue dar? Muongo sana huyo. Na yeye kaiona wapi?
Mdau una idea kidogo na mambo ya bandari????
 
Kwamba mkataba unafaida sababu tutaona melikubwa ambazo hatujawahi kuziona!!!.
Alafu meli zinazo onekana kuleta mizigo katika bandari ya dar ndio zitakuwa zinachukuwa mizigo hapo bagamoyo kupeleka nchi nyingine.

Sasa zikiwa zinabeba mizigo kutoka katika hiyobandari ya bagamoyo sisi tutafaidika nanini?.

Ange dadavua hapo kwanza tumuelewe.
 
Zitto huwaga mpiga debe wa mabeberu tu hata sinshangai, hii meli kubwa kiasi gani istue dar? Muongo sana huyo. Na yeye kaiona wapi?
Hivi na umri wako huo wote tukiacha elimu uliyonayo umeshindwa kutambua kuwa kuna baadhi ya meli haziwezi kutia nanga bandari ya Dar kutokana na kina cha maji kuwa kifupi?!,
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania

Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto

Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.

Chanzo: Clouds 360
Kama tunataka tutengeneze bandari ya bagamoyo ili meli kubwa zije tuzione.... kwann mama asichague siku, kwa zamu, kila mtz tunapanda #AIRBUS zetu tunaenda kuziona huko huko zilipo kisha tunarud na kazi inendelee...
 
Itakuwa ameshakula parcent huyu
Kama kawaida yake,nakumbuka alivyopiga kelele kuhusu mikataba mibovu ya madini,wakula wakaona isiwe tabu,akatupiwa mfupa kwa kukabidhiwa uenyekiti wa kamati ya madini,hatukusikia tena mayowe yake,mswahili yule aliwahi kusema kuwa waswahili hatuna tabia ya kuongea wakati wa kula!! Zitto akawa kimyaaa,kama vile hatukuwahi kuibiwa madini,ila anajua kuremba speech zake!
 
Mkuu siamini kama ni kweli inawezekana ilikuwa kama propaganda kama wahenga wanavyosema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.

I don't think wachumi wa enzi ya JK kuingia mkataba kama huo ambao hauna maslahi hata chembe kwa TZ.
Inawezekana kweli uongozi uliopita waliamua kuuchafua huo mkataba kwa maslahi yako,msome huyu jamaa hapo [emoji116][emoji116]

Tatizo lenu hamtaki kusikiliza!

Mngekuwa mnasikiliza hoja na kizipima badala ya kupinga tu kwa kuwa mtoa hoja humpendi.

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo,ulikuwa ujengwe kwa makubaliano ya uwekezaji wa pande tatu,Tanzania,Oman na China. Wawekezaji wangejenga miundo mbinu ya bandari na industrial parks kwa ajili ya viwanda zaidi ya 800 na kuchukua port charges kwa kipindi cha miaka 50. Serikali haikuyakiwa kutoa hata sumuni! Katika kipindi hicho serikali itachukua kodi zingine mbalimbali kama ushauri wa forodha kama kawaida. Baada ya miaka hiyo, bandari inakuwa mali ya serikali 100%

Utaratibu huu ndio unaotumika hata sasa kwenye bandari ya Dar. Wapo TICTS wanaendesha bandari hiyo.

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo unamanufaa makubwa katika uchumi wa Tanzania. Pamoja na kuifanya Tanzania kuwa lango juu la bidhaa kwa zaidi ya nchi 8 za Afrika,unaifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda vya kisasa ambavyo vitahudumia soko la ndani na nchi nyingine za Afrika.

Mradi huu utazalisha ajira nyingi mno katika sekta mbalimbali kama mahoteli, usafirishaji nk.
 
Back
Top Bottom