Hakukuelewa, unajua eee!So...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakukuelewa, unajua eee!So...?
Sio alidanganywa, ulikuwa utashi wake.Kama Zitto Mchumi Mbobezi amesema hivyo mimi ni nani ngumbaru wa MATEJOO nikatae? JIWE alidanganywa.
Kasema ni bandari iliyolenga kupokea mizigo toka kwenye meli kubwa zaidi halafu hizi meli tulizozoea zinachukua pale na kusambaza sehemu mbalimbali za Africa.Stupid statement! Hayo mameli makubwa yataleta nini? Ni statement inayostahili kutolewa na vijana wa kivukoni wakisubili kuzamia meli. Yaani meli kubwa zinaweza kuja bila sababu.
China ni Nafiki siyo Rafiki.Mbona kwenye ujenzi wa Chuo cha siasa cha CCM na vyama vya ukombozi hatukusikia hizi figisu. Tulichodikia ni kwamba Wachina na marafiki zetu.
Kitu ambacho sielewi ni wapi Mchina anakuwa rafiki na ni wapi ambapo anakuwa siyo rafiki.... In short. Je China ni rafiki au siyo rafiki!!?
Kwanza kasema mradi haukuwa unatekelezwa na china peke yake bali ilikuwa china na oman na ile mizigo haikuwa kwa ajili ya tz pekee bali ilikuwa ni kama kituo ambapo meli kubwa zaidi zinateremsha mizigo halafu hizi meli tulizozea zinaichukua pake na kuisambaza sehemu nyingine za Afrika na dunia.Here we come 'China Bay'….hizo meli kubwa kubwa zisiwe nazo zina mzigo wa Gold Dust.
Mkuu siamini kama ni kweli inawezekana ilikuwa kama propaganda kama wahenga wanavyosema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
I don't think wachumi wa enzi ya JK kuingia mkataba kama huo ambao hauna maslahi hata chembe kwa TZ.
Bado unakuwa mgumu kuelewa, miradi mingi muda wa kurudisha pesa ni miaka 8 au chini ya hapo.Gharama ni dola bil 10,ambazo wao wanatakiwa wazipate pamoja na faida katika hicho kipindi cha muda wa concession ambayo ni miaka 50 au chini ya hiyo kulingana na umahiri wetu kwenye negotiation.
Ni kama wawekezaji kwenye mradi wa Mlimani City wanavyofanya. Baada ya muda wa mkataba,majengo yote ya Mlimani City yatakuwa mali ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Naona siku hizi akili zimeanza kuwarudi.Hizi kelele zenu za bandari ya bagamoyo dawa hii hapa
Biashara ya duka, mtu huwa huingii mkataba wowote na serikali .Unaenda tu kuomba leseni yaliyobaki ya kwako..
Siyo mtu wa kumuaminiZitto huwaga mpiga debe wa mabeberu tu hata sinshangai, hii meli kubwa kiasi gani istue dar? Muongo sana huyo. Na yeye kaiona wapi?
Hapo nitamuelewa, bila mkataba kuwekwa wazi watu wakaujua No.Kasema ni bandari iliyolenga kupokea mizigo toka kwenye meli kubwa zaidi halafu hizi meli tulizozoea zinachukua pale na kusambaza sehemu mbali mbali za Africa. Shida kasema mkataba hata wabunhe hawakuwahi kuuona hivyo zaidi ya kuambiwa sote tulichosikia wao kama wao hakuna aliyewahi kuona kilichomo. Hivyo kashauri bora uwekwe wazi ujadiliwe tujue kilichomo kuliko kuambiwa ambiwa tu
Kwasababu ana historia ya kubadilika kama kinyonga, hasa pakiwa na maslahi yake binafsi.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Tuna tofauti nyingi baina yangu mimi na wewe lakini linapokuja suala la Zitto yuko pamoja sana. Sijawahi kumwamini Zitto hata siku moja labda lile Kanisa la Askofu Rashid wanifanyie maombi ya nguvu.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Ungemskiliza ungeelewa alichosema ila nina hakika hukusikia interview yake. Kaeleza vizuri tu yeye alichoona ni masterplan ya bandari ila mkataba bunge halikuwahi kuuona na ikulu haijawahi kuuweka wazi, hivyo tunaambiwa tu yeyw kapendekeza kwanini wasiuweke wazi.Hawa wanasiasa hawaaa, wao wakishaashiba haijalishi ni shibe ya halali ama haram kwakua majina makubwa wataauza hata Mlima Kilimanjaro, ila mjue mbeba dhamana na mjue kwa Haqika mtaulizwa siku ya Qiyama