Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Kweli JPM aliyatoa sadaka maisha yake hii Nchi ilikuwa imeshauzwa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Zitto aliona presentation ndiyo akajua ile bandari itakuwa ya tatu kwa ukubwa dunianj, ni kwa ajili ya meli kubwa kushusha mizigo na meli hizi tulizozoea kuzichukua pale na kuzisambza huko kwingine.Ndungai alisema alikwenda China akaonyeshwa eti presentation akahitimisha ni uwekezaji mzuri. Hivi uwekezeaji mzuri hujulikana kwenye presentation? Uzuri wa uwekezaji uko kwenye mkataba. Huu mradi ni China na Oman wanashirikiana. Hawa ni vinara wa kugawa rushwa duniani. Nina uhakika wengi wanaopigia debe huu mradi wameahidiwa kitu. Jaribu kuangalia aina ya watu wanaopigania huu mradi na tabia zao.
Zitto anataka kuleta story zile za wajinga wanao jitamba kisa wamepiga picha na mzungu.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Ni sawa bandali ya Bagamoyo yatakuja mameli makubwa makubwa Lakini kumbuka pia mapato yote yatakayo tokana na hiyo bandali yatakuwa ni ya wachina kwa muda wa miaka 200KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Zamani tuliaminishwa Ohoooo Cjui Wasukuma Washamba eti Mameli Makubwa tutayaona halafu baada ya Kuyaona kinachofuata ni kwa faida ya nani?We sukuma akili ndogo huwezi kumuelewa zitto
Hivi mkataba wenyewe una kipengele kinachozuia mkataba kuwekwa hadharani?!? Kwanini kila mtu anataka “kusimulia”alichokiona ndani.Ukubwa wa meli hauna faida kama vipengele vya mkataba vinatuumiza.
Hahahaa ndio wasomiwetu hao mkuu, wanafikiri kuhusu matimboyaotu na kutakasifa za kijinga kamahizo za kuangalia tu mameli makubwa.Kwamba hii Bagamoyo's project ipewe green light kwasababu tu ya kuyaona mameli makubwa ambayo hatujawahi kuyaona?..basi sawa!!!
Sawa mkuu lakini hata ingekuwa ya kwanza kuna faida gani kama tunauza nchi? Vitu vingine inabidi watu waangalia kwa mapana na marefu. BTW walishatishia siku nyingi kuwa hao wawekezaji wameshaondoka kujenga sehemu nyingine lakini nashangaa kumbe bado wanafukuzia. Hivi faida kwa nchi ingekuwa nzuri kihivyo Tanzania tangu Tanzania waanze kusuasua kuhusu huu mradi si ungekuta nchi nyingine zimeshawachukuwa? Kwani Tanzania ndiyo nchi pekee yenye bandari Afrika? Chema cahajiuza, kibaya chajitembeza. All in all uwekwe wazi huo mkataba kama wana nia njema. Tuwe makini tutajikuta siku sijazo tuna vikosi vya kupigania ardhi ya Tanzania iliyoporwa. Na wawekezaji wa mradi mkubwa kama huo hawaingii hivi hivi. Wanahakikisha watakuwa na uwezo wa ku-influence uchaguzi wa nchi husika ili asipatakine rais atakayewageuka. Anyways sioni wa kuuzuia tena huu mradi baada ya Magufuli kuondoka. Ndiyo maana unaona wameshajitokeza watu wanaopiga kelele mara hii.Hata Zitto aliona presentation ndiyo akajua ile bandari itakuwa ya tatu kwa ukubwa dunianj, ni kwa ajili ya meli kubwa kushusha mizigo na meli hizi tulizozoea kuzichukua pale na kuzisambza huko kwingine.
Hiyo presentation na masterplan anakili kabisa kuwa ni nzuri sana. Ila sasa mkataba hawakuwahi kuuona serikali haikuwahi hata kuupeleka bungeni zaidi ya tulichosikia kutoka kwa Hayati. Hivyo ndiyo maana hata yeye hakutaka kuujadili ila akasema itakuwa vizuri uwekwe hadharani wataalam wauchambue tuone mabaya na uzuri wake kama tunaukataa tuukatae kabisa kama tunaweza kuijenga kwa pesa ya ndani tujenge japo kasema kwa ukunwa wa bandari ile nchi kama nchi haiwezi kuijenga peke yake. Maana unaweza kuimagine bandari ambayo ingekuwa ya 3 kwa ukubwa duniani itagharamu tillions of tshs
Kwa iyo bagamoyo port itakua kama durban maana hapo ndio centre ya meli nyingine kupokea mizigo na kusambaza huko duniani....KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Mdau una idea kidogo na mambo ya bandari????Zitto huwaga mpiga debe wa mabeberu tu hata sinshangai, hii meli kubwa kiasi gani istue dar? Muongo sana huyo. Na yeye kaiona wapi?
Hivi na umri wako huo wote tukiacha elimu uliyonayo umeshindwa kutambua kuwa kuna baadhi ya meli haziwezi kutia nanga bandari ya Dar kutokana na kina cha maji kuwa kifupi?!,Zitto huwaga mpiga debe wa mabeberu tu hata sinshangai, hii meli kubwa kiasi gani istue dar? Muongo sana huyo. Na yeye kaiona wapi?
Kama tunataka tutengeneze bandari ya bagamoyo ili meli kubwa zije tuzione.... kwann mama asichague siku, kwa zamu, kila mtz tunapanda #AIRBUS zetu tunaenda kuziona huko huko zilipo kisha tunarud na kazi inendelee...KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Kama kawaida yake,nakumbuka alivyopiga kelele kuhusu mikataba mibovu ya madini,wakula wakaona isiwe tabu,akatupiwa mfupa kwa kukabidhiwa uenyekiti wa kamati ya madini,hatukusikia tena mayowe yake,mswahili yule aliwahi kusema kuwa waswahili hatuna tabia ya kuongea wakati wa kula!! Zitto akawa kimyaaa,kama vile hatukuwahi kuibiwa madini,ila anajua kuremba speech zake!Itakuwa ameshakula parcent huyu
Ni wewe tu na prejudice zako tu but in all fairness the chap is good upstairs! angalau anauwezo mkubwa wa kuchambua mambo na kujenga hoja nzito na za maana kabisa.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Wachina hiyo win-win hawataweza ruhusu itokeeNgoja wauweke tuone kama ni mzuri au mbaya kama ni mbaya kwa vipengele vinaweza kujadiliwa ili win win situation ipatikane ,miradi kama ile ndio inakuza uchumi.
Inawezekana kweli uongozi uliopita waliamua kuuchafua huo mkataba kwa maslahi yako,msome huyu jamaa hapo [emoji116][emoji116]Mkuu siamini kama ni kweli inawezekana ilikuwa kama propaganda kama wahenga wanavyosema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
I don't think wachumi wa enzi ya JK kuingia mkataba kama huo ambao hauna maslahi hata chembe kwa TZ.
Toka wamzike mume wao akili zimeanza kuwarudia [emoji23][emoji23]Naona siku hizi akili zimeanza kuwarudi.