Zitto ni pangu pakavu tia mchuzi. Subiri kidogo utamsikia amechomeka udini.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni pangu pakavu tia mchuzi. Subiri kidogo utamsikia amechomeka udini.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Ile siyo bandari kama ya mtwara ilikuwa iwe bandari tofauti na nyingine zote na inhekuwa kubwa ya 3 duniani. Sema shida ni kwamba huo mkataba zaidi ya ikulu hata wabunge hawajui kilichomo hawakuwahi kuuona.Kuna Bandari MTWARA ina kina kirefu ambacho kipo kiasili,hatuwezi kutumia nguvu nyingi kuendeleza!
Naona bandari zingine muhimu zinapotezewa bila kutengenezewa mkakati
Ndicho anachotaa uwekwe wazi tuone kaa ulikuwa na manufaa ama haukuwa na manufaa kwa taifa watu wauchambue waujadili hilo hata yeye ndilo anatakaMkataba uwe wazi na unajari sovereignty ya Taifa letu
Yaani Bandari ya Dar ilikua inaingia Mara 25 kwa ukubwa kwenye hiyo Bandari ya BagamoyoIle siyo bandari kama ya mtwara ilikuwa iwe bandari tofauti na nyingine zote na inhekuwa kubwa ya 3 duniani. Sema shida ni kwamba huo mkataba zaidi ya ikulu hata wabunge hawajui kilichomo hawakuwahi kuuona.
Why now?mbona inapigiwa upatu sana?ina maana hakuna miradi mingine muhimu zaidi ya huo?Hii tabia ya kushambulia watu bila kusikiliza hoja zao inashangaza. Hebu jaribu kuweka hisia zako pembeni kamsikilize halafu rudi uchangie.
Katoa maelezo mazuri sana.
1. Katwambia walichoona wao na wabunge wengine ni presentation ya hiyo bandari.
2. Ile haikuwa bandari ya kawaida kama iliyokuwepo bali ililenga kupokea meli kubwa sana zishushe mizigo halafu meli hizi tulizozoea ziichukue na kuisambaza afrika na kwingineko.
3. Ingemaliza ingekuwa bandari ya 3 kwa ukunwa duniani
4. Hata bunge halikuwahi kuona mkataba wake ni ikulu tu waliyouona hivyo hata wao hawajui kilichomo zaidi ya kusikia kutoka kwa mwendazake, hivyo ingekuwa bora ungewekwa wazi ili watu wauchambua tujue yaliyomo.
5. Bandari ilikuwa ijengwe kwa ushirikiano wa Tanzania, China na Oman
6. Raisi Mwinyi ashawawahi waomna watajenga bandari zanzibar, hivyo anaona hakuna tena umuhimu wa kujenga bandari ya bagamoyo unless iwepo plan ya hiz bandari kushirikiana maana sisi ni nchi moja.
Sasa wapi alipokosea?
Masharti aliyosema JPM ambayo wachina walitupa mbona hawayasemi , kukubali ama kukanusha. Kama ni yale masharti JPM ni shujaa tu. Mameli makubwa bila tuna yana faida gani. Watueleze ni wapi machina alijenga mradi ukalikomboa taifaYaani Bandari ya Dar ilikua inaingia Mara 25 kwa ukubwa kwenye hiyo Bandari ya Bagamoyo
Kwakuwa aliyekuwepo hakutaka mawazo tofauti akikusikia kitakachokupata wanakijua kilichowapata. Hivi shida iko wapi kuweka mkataba wazi maana hata yeye hajasema utekelezwe bila huo mkataba kuwekwa wazi.Why now?
Wachina hiyo win-win hawataweza ruhusu itokee
😂😂😂😂wakati wa jk?muswada unaletwa asubuhi bungeni kwa mara ya kwanza,jioni ushapitishwa.Kwakuwa aliyekuwepo hakutaka mawazo tofauti akikusikia kitakachokupata wanakijua kilichowapata. Hivi shida iko wapi kuweka mkataba wazi maana hata yeye hajasema utekelezwe bila huo mkataba kuwekwa wazi.
Ni now kwasababu ndiyi watu wanajisikia huru walau kuzungumza mawazo yao. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanazungumza tu akitaka atayachukua akigoma basi sasa hiyo chance waliikosa sasa wameipata.
Aliyasema yeye ambaye alikwambia ATCL ilikuwa inatengeneza faida hadi kutoa gawio.Masharti aliyosema JPM ambayo wachina walitupa mbona hawayasemi , kukubali ama kukanusha. Kama ni yale masharti JPM ni shujaa tu. Mameli makubwa bila tuna yana faida gani. Watueleze ni wapi machina alijenga mradi ukalikomboa taifa
. Mbona nchi nyingi zinasurrenddr bandari kurudisha madeni ya machina . Mikataba ya sultnai Mangungo MUNGUapishe mbali.
Watu wanakuwa na jazba sana yani hat sielewi.Tatizo lenu hamtaki kusikiliza!
Mngekuwa mnasikiliza hoja na kizipima badala ya kupinga tu kwa kuwa mtoa hoja humpendi.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo,ulikuwa ujengwe kwa makubaliano ya uwekezaji wa pande tatu,Tanzania,Oman na China. Wawekezaji wangejenga miundo mbinu ya bandari na industrial parks kwa ajili ya viwanda zaidi ya 800 na kuchukua port charges kwa kipindi cha miaka 50. Serikali haikuyakiwa kutoa hata sumuni! Katika kipindi hicho serikali itachukua kodi zingine mbalimbali kama ushauri wa forodha kama kawaida. Baada ya miaka hiyo, bandari inakuwa mali ya serikali 100%
Utaratibu huu ndio unaotumika hata sasa kwenye bandari ya Dar. Wapo TICTS wanaendesha bandari hiyo.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo unamanufaa makubwa katika uchumi wa Tanzania. Pamoja na kuifanya Tanzania kuwa lango juu la bidhaa kwa zaidi ya nchi 8 za Afrika,unaifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda vya kisasa ambavyo vitahudumia soko la ndani na nchi nyingine za Afrika.
Mradi huu utazalisha ajira nyingi mno katika sekta mbalimbali kama mahoteli, usafirishaji nk.
Kwani kulikuwa na tofauti gani na wakati wa JPM hata waliokuwa wanataka budget ifanyiwe marekebisho basi wakaitwa wasaliti. By the way umeuliza why now, nimekujibu kwakuwa now ndipo wana uhuru wa kuzungumza.😂😂😂😂wakati wa jk?muswada unaletwa asubuhi bungeni kwa mara ya kwanza,jioni ushapitishwa.
Yuda katika ubora wake....ni mtu mpumbavu tu ndie atakayemtilia maanani.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Naona kuna mzigo umewekwa kwa waimbaji mapambio ya bandari....
Kwa gharama ipi , ya kuuza hiyo Bandari kwa wawekezaji.
Inawezekana kweli uongozi uliopita waliamua kuuchafua huo mkataba kwa maslahi yako,msome huyu jamaa hapo [emoji116][emoji116]
Tatizo lenu hamtaki kusikiliza!