Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa kashfa zake hadharani akipokea mlungura kupitia benki ili aidhohofishe Chadema. Kila kitu kiliwekwa wazi mpaka akaunti namba na pesa zilipotoka.
Huyu sio mtu anayefaa kuwa kiongozi hata kidogo.
Nashangaa sana kutaka kugombea urais
👇