Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

Hujui inahusikaje?
Tuliambiwa magufuli alikuwa msafi kumbe jizi tu
Lilinunua nyumba za NIC dodoma kwa lako 6 kila moja. Yaani maghorofa yalinunuliwa kwa laki sita.
Likipora korosho za wanamtwara.
Lilinunua mindege bila kufuata sheria ya manunuzi.
MAYANGA COMSTRUCTION NI MALI YA JPM
Weka documentary evidence juu ya hizi tuhuma kisha Tindo aone kwa faili
 
Ahaaa. Kumbuka urais ni dhamana kubwa sana. Kama mtu aliweza kuhongwa kwa ajili ya kusaliti chama chake. Atashindwa kuuza rasilimali za umma?
Mbona marais wa awamu ya 2 mpaka ya 5 wameuza rasilimali za umma na mnaendelea kuwa kimya!!?
Awamu ambayo hata miaka miwili haijaisha inakasi kubwa ya kuuza rasilimali na hamsemi.
Katiba mpya ndio mwarobaini wa kuwa na kiongozi/viongozi ambao hawatafanya Tanzania shamba la bibi.
Jamaa yangu Pascal Mayalla ana kauli yake kuwa "Tanzania hatutafuti malaika kuwa kiongozi".
 
Kwa upinzani uliopo na wapinzani waliopo, ZZK is the one and only, best candidate the opposition has.
P
Huko CCM ni nani anamfikia ZZK!!?,Labda kiuchawi,kiufisadi na kiunafiki ndio wote wanakuwa kundi moja,lakini kiuwezo wa kuchambua hoja,kiuongozi,kiuelewa na kiuthubutu,hamna.
 
Weka ushahidi
Kwamba alipora korosho za wakulima linahitaji ushahidi upo zaidi?
Kwamba alinunua ndege bila kufuata sheria ya manunuzi linahiyaji ushauri gani?
Kwamba ndiye aliyehusika kumpiga risasi tundu lisu linahitaji ushahidi?
Kwamba alijiuzia nyumba za umma na kuwagawia mahawala zake kina kajala wa kebys pale bamaga linahitaji ushahidi?
Halafu ndiyo unaita watu hawajui lolote na hawana akili wewe?
 
Acha kubwawaja maneno kama unahara.
 
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.

Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.

Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?

Huko nyuma ziliwahi kuwekwa kashfa zake hadharani akipokea mlungura kupitia benki ili aidhohofishe Chadema. Kila kitu kiliwekwa wazi mpaka akaunti namba na pesa zilipotoka.

Huyu sio mtu anayefaa kuwa kiongozi hata kidogo.

Nashangaa sana kutaka kugombea urais
👇View attachment 2215330
Lakini ni Mtanzania na ana vigezo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na siyo kwa maoni yako.
 
Tanzania hatutafuti rais malaika!.
P
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
Umekosa hoja nakupuuza.
Unapuuza kwa sababu huna cha kujibu.
Umejaribu hata kutukana mm sijatukana . Ukiwa hujui kitu usikimbilie matusi basi. Hayatakusaidia.
Mm siyo muumini wa watu imara ni muumini wa nchi na taasisi imara.
Endeleeni kuabudu mizimu
Ikikufaa fuata ushauri wa zitto.
Huna uwezo na hutakaa uupate wa kutuambia fulani msafi fulani mchafu hafai kuwa raisi
Aliwaita watu wasafi huko nyuma wakaishia kupelekewa MABULUNGUTU YA DOLA IKULU
acha vitisho ni silaha ya watu dhaifu
 
Sikuelewi uelekeo wako. Maaana maneno mengi lakini huna hoja
 
Back
Top Bottom