Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

Kupitia act wazalendo kwa bara mlitaka agombee nani hakuna mtu zaidi yake.
 
Mbowe will make a good candidate kuliko Zitto.
Mbowe ana msimamo bt Zitto hana, he only goes where money and fame goes.
Kifupi hana sifa za Uraisi.
Ila kwakua hii ni inchi huru ya ki demokrasia wacha agombee ili amalizie umaarufu wake.
Bt hawezi kupata ht robo ya kura, labda huko zanzbar wanapo piga kura za Maruhani.
Mbowe huyuhuyu aliyepewa bahasha ya khaki na kelele za Katiba Mpya zikafa?
 
Back
Top Bottom