Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ahaaa. Kumbuka urais ni dhamana kubwa sana. Kama mtu aliweza kuhongwa kwa ajili ya kusaliti chama chake. Atashindwa kuuza rasilimali za umma?Tanzania hatutafuti rais malaika!.
P
Kwa upinzani uliopo na wapinzani waliopo, ZZK is the one and only, best candidate the opposition has.Ahaaa. Kumbuka urais ni dhamana kubwa sana. Kama mtu aliweza kuhongwa kwa ajili ya kusaliti chama chake. Atashindwa kuuza rasilimali za umma?
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa kashfa zake hadharani akipokea mlungura kupitia benki ili aidhohofishe Chadema. Kila kitu kiliwekwa wazi mpaka akaunti namba na pesa zilipotoka.
Huyu sio mtu anayefaa kuwa kiongozi hata kidogo.
Nashangaa sana kutaka kugombea urais
👇View attachment 2215330
Kuna tofauti kubwa sana katika hao watu wawili mmoja alitafuta kazi mwingine alipewa kazi kutokana na sifa alizokuwa nazo.Hakuna wa kumpa urais Zito, sio kwakuwa hana elimu wala uwezo wa kuwa rais, bali ushawishi wa chama chake ni mdogo. Kama ingekuwa uadilifu ni sifa ya kuwa rais Tanzania, basi JK na Magufuli wasingekuwa Marais wa nchi hii.
Mbona makengeza hajawa rais na uadilifu wake [emoji12][emoji12][emoji12]
Usiseme mmeibiwa kura. [emoji12]
Kuna tofauti kubwa sana katika hao watu wawili mmoja alitafuta kazi mwingine alipewa kazi kutokana na sifa alizokuwa nazo.
Wewe ipo kwenye chuki zisizo na mashiko . Chuki za kipuuzi.Tofauti yako kwa watu hao iko kwenye mahaba niue zaidi.
Mbowe will make a good candidate kuliko Zitto.Kwa upinzani uliopo na wapinzani waliopo, ZZK is the one and only, best candidate the opposition has.
P
Hujui siasa za Bongo. Kama hayati JPM asingekuwa muadiliafu basi 2015 CCM ingepigwa chini.Hakuna wa kumpa urais Zito, sio kwakuwa hana elimu wala uwezo wa kuwa rais, bali ushawishi wa chama chake ni mdogo. Kama ingekuwa uadilifu ni sifa ya kuwa rais Tanzania, basi JK na Magufuli wasingekuwa Marais wa nchi hii.
Hakuna uchaguzi 2025, KATIBA mpya itatangulia kwanza. Tusihamishwe Hoja ya mafuta kupanda Bei, Tusikubali kutolewa kwenye reli. Zitoooow Mpuuzi APUUZWE.Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa kashfa zake hadharani akipokea mlungura kupitia benki ili aidhohofishe Chadema. Kila kitu kiliwekwa wazi mpaka akaunti namba na pesa zilipotoka.
Huyu sio mtu anayefaa kuwa kiongozi hata kidogo.
Nashangaa sana kutaka kugombea urais
👇View attachment 2215330
Ukiwalinganisha hao wawili, Mbowe is better off.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu acheni kuwalaghai watanzania.
Si haki. Yaani huu upuuzi imebidi nicheke tu.
Huyo magufuli aliyekuwa msafi mbona aliishia kuua, kuteka na kupiga risasi wapinzani wake?Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa kashfa zake hadharani akipokea mlungura kupitia benki ili aidhohofishe Chadema. Kila kitu kiliwekwa wazi mpaka akaunti namba na pesa zilipotoka.
Huyu sio mtu anayefaa kuwa kiongozi hata kidogo.
Nashangaa sana kutaka kugombea urais
👇View attachment 2215330
Hii inahusika hapa? Kama aliteka kwa sababu unao ushahidi peleka malalamiko yako kwa mamlaka husika ili hatua zichukuliwe.Huyo magufuli aliyekuwa msafi mbona aliishia kuua, kuteka na kupiga risasi wapinzani wake?
Aliishia kununua na kujenga bila kufuata sheria za manunuzi?
Hatuhitaji raisi MALAIKA
Hujui inahusikaje?Hii inahusika hapa?
Zitto hafai hata kidogoTanzania hatutafuti rais malaika!.
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya maswali magumu type ya "kiti moto" havihitajiki sana kwa audience yetu!. Kiukweli, tukubali...www.jamiiforums.com Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!
Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...www.jamiiforums.com Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Wanabodi, Baada ya Kisa, Mkasa, na Baada ya Chanzo Kitendo!, Sakata la Mbunge Machachari wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe na chama chake cha Chadema limekuwa na visa na mikasa, vyanzo na vitendo na hatimaye leo, limefikia mwisho, limekwisha rasmi, it's over!, the rest is now a history...www.jamiiforums.com PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com