Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Weka documentary evidence juu ya hizi tuhuma kisha Tindo aone kwa failiHujui inahusikaje?
Tuliambiwa magufuli alikuwa msafi kumbe jizi tu
Lilinunua nyumba za NIC dodoma kwa lako 6 kila moja. Yaani maghorofa yalinunuliwa kwa laki sita.
Likipora korosho za wanamtwara.
Lilinunua mindege bila kufuata sheria ya manunuzi.
MAYANGA COMSTRUCTION NI MALI YA JPM
Mbona marais wa awamu ya 2 mpaka ya 5 wameuza rasilimali za umma na mnaendelea kuwa kimya!!?Ahaaa. Kumbuka urais ni dhamana kubwa sana. Kama mtu aliweza kuhongwa kwa ajili ya kusaliti chama chake. Atashindwa kuuza rasilimali za umma?
Wewe mwenyewe ulichokisema juu ya zitto na wengine umeshawahi kuweka documentary evidence yoyote na ukampa musiba kwenye fail?Weka documentary evidence juu ya hizi tuhuma kisha Tindo aone kwa faili
Wewe huna akili na hujui loloteWewe mwenyewe ulichokisema juu ya zitto na wengine umeshawahi kuweka documentary evidence yoyote na ukampa musiba kwenye fail?
Huko CCM ni nani anamfikia ZZK!!?,Labda kiuchawi,kiufisadi na kiunafiki ndio wote wanakuwa kundi moja,lakini kiuwezo wa kuchambua hoja,kiuongozi,kiuelewa na kiuthubutu,hamna.Kwa upinzani uliopo na wapinzani waliopo, ZZK is the one and only, best candidate the opposition has.
P
Wewe unajua nini? Akili unazo sasa .Wewe huna akili na hujui lolote
Wakongwe hapa JF hatuwezi kuhoji haya.Wewe mwenyewe ulichokisema juu ya zitto na wengine umeshawahi kuweka documentary evidence yoyote na ukampa musiba kwenye fail?
Urais wa ujiji atapata
Magufuli mwizi aliyejivisha ngozi ya UZALENDOWakongwe hapa JF hatuwezi kuhoji haya.
👇https://www.google.com/url?sa=t&sou...cQFnoECAQQAQ&usg=AOvVaw0NL0n2j8MVxy-6LPtmDAOE
Weka ushahidiMagufuli mwizi aliyejivisha ngozi ya UZALENDO
Kwamba alipora korosho za wakulima linahitaji ushahidi upo zaidi?Weka ushahidi
Acha kubwawaja maneno kama unahara.Kwamba alipora korosho za wakulima linahitaji ushahidi upo zaidi?
Kwamba alinunua ndege bila kufuata sheria ya manunuzi linahiyaji ushauri gani?
Kwamba ndiye aliyehusika kumpiga risasi tundu lisu linahitaji ushahidi?
Kwamba alijiuzia nyumba za umma na kuwagawia mahawala zake kina kajala wa kebys pale bamaga linahitaji ushahidi?
Halafu ndiyo unaita watu hawajui lolote na hawana akili wewe?
Sibwabwaji. Ninayo haji ya kutoa maoni kama mtanzania.Acha kubwawaja maneno kama unahara.
Umekosa hoja nakupuuza.Sibwabwaji. Ninayo haji ya kutoa maoni kama mtanzania.
Sipangiwi na watu wasio na maono kutwa kucha kuabudu binadamu wenzao.
Lakini ni Mtanzania na ana vigezo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na siyo kwa maoni yako.Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa kashfa zake hadharani akipokea mlungura kupitia benki ili aidhohofishe Chadema. Kila kitu kiliwekwa wazi mpaka akaunti namba na pesa zilipotoka.
Huyu sio mtu anayefaa kuwa kiongozi hata kidogo.
Nashangaa sana kutaka kugombea urais
👇View attachment 2215330
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.Tanzania hatutafuti rais malaika!.
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya maswali magumu type ya "kiti moto" havihitajiki sana kwa audience yetu!. Kiukweli, tukubali...www.jamiiforums.com Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!
Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...www.jamiiforums.com Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Wanabodi, Baada ya Kisa, Mkasa, na Baada ya Chanzo Kitendo!, Sakata la Mbunge Machachari wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe na chama chake cha Chadema limekuwa na visa na mikasa, vyanzo na vitendo na hatimaye leo, limefikia mwisho, limekwisha rasmi, it's over!, the rest is now a history...www.jamiiforums.com PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
kwanza zitto sio mtanzania.Ahaaa. Kumbuka urais ni dhamana kubwa sana. Kama mtu aliweza kuhongwa kwa ajili ya kusaliti chama chake. Atashindwa kuuza rasilimali za umma?
Unapuuza kwa sababu huna cha kujibu.Umekosa hoja nakupuuza.
Sikuelewi uelekeo wako. Maaana maneno mengi lakini huna hojaUnapuuza kwa sababu huna cha kujibu.
Umejaribu hata kutukana mm sijatukana . Ukiwa hujui kitu usikimbilie matusi basi. Hayatakusaidia.
Mm siyo muumini wa watu imara ni muumini wa nchi na taasisi imara.
Endeleeni kuabudu mizimu
Ikikufaa fuata ushauri wa zitto.
Huna uwezo na hutakaa uupate wa kutuambia fulani msafi fulani mchafu hafai kuwa raisi
Aliwaita watu wasafi huko nyuma wakaishia kupelekewa MABULUNGUTU YA DOLA IKULU
acha vitisho ni silaha ya watu dhaifu