WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ni raia wa wapi?kwanza zitto sio mtanzania.
Hivi upo sawa kiakili?Acha makengeza, hata wasio na makengeza wenyewe hawajapata. Dhalimu mwenyewe alikuwa anategemea wizi wa kura kupata madaraka.
Ukishindwa kuelewa kaa chini utafakari kwa nini huelewi?Sikuelewi uelekeo wako. Maaana maneno mengi lakini huna hoja
Utaelewa nini mtu anapost pumba tupuUkishindwa kuelewa kaa chini utafakari kwa nini huelewi?
Huwezi kuelewa wewe akili yako ndogo sanaSikuelewi uelekeo wako. Maaana maneno mengi lakini huna hoja
Nakupuuza zaidiHuwezi kuelewa wewe akili yako ndogo sana
Hahaha. Puuza lakini huo ndiyo ukweli.Nakupuuza zaidi
Kuiondoa CCM kunahitaji mbinu na maarifa vya ziada, mgombea kuwa au kutokuwa muadilifu haviwezi kusababisha ashindwe uchaguzi.Hujui siasa za Bongo. Kama hayati JPM asingekuwa muadiliafu basi 2015 CCM ingepigwa chini.
Mbowe huyuhuyu aliyepewa bahasha ya khaki na kelele za Katiba Mpya zikafa?Mbowe will make a good candidate kuliko Zitto.
Mbowe ana msimamo bt Zitto hana, he only goes where money and fame goes.
Kifupi hana sifa za Uraisi.
Ila kwakua hii ni inchi huru ya ki demokrasia wacha agombee ili amalizie umaarufu wake.
Bt hawezi kupata ht robo ya kura, labda huko zanzbar wanapo piga kura za Maruhani.