Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia


Zitto nilikuwa namkubali kweli..ila kwa hii interview nimemuona true colors zake…kumbe nitakataka tu…atapikwe tu huyu mtanzania mwenzetu katika uwanja wa uongozi hatufai…
 
Wewe unajua mengi,kikwete ndiyo aliyeharibuu zito aliyaka kumtumia kuisambalatisha chadema
Magufuli hakutaka aliona bora Mbatia,Mkapa akawasaga akasema hizo pesa bora wajenge chama Chao ccm kuliko kuwatumia wahuni ambao pia wanaeweza kikugeuka,akasemahao watu wanakula ruzuku wanajenga majumba hizi ni pesa za wananchi,akasema mnawachukia chadema lakini ndiyo wanaofikisha pesa mashinani ndiyo maana wamekuwa tishio.Badala ya kufikiria kujenga chama dhidi ya chadema mnafikiria genge la wahuni kuhujumu pesa ya wananchi wananchi sio wajinga watajua na watazidi kuwakataa.Mbatia deal ikafia pale.
 
Wachaga ni WaTz si wakoloni wako.
Sasa hivi ajira si za kibaguzi !!
 
Wachaga ni WaTz si wakoloni wako.
Sasa hivi ajira si za kibaguzi !!
Sasa ukabila wa Magu ni upi kama unajua wote ni watz?

Yani nyie watu bhana!

Sijawahi kuona mtu wa kutoka Mbeya, Iringa, Kigoma na kwingineko akilalamika kwamba Magu ni mkabila ila ni wachaga tu ndio walikuwa wanalalamika.

Zama zimebadirika bwashee! Mambo ya kumaliza chuo alafu unampigia mjomba akudirect sehemu ukaanze ajira yameshaisha.
 
Ila kweli miradi ya kuunganisha barabara nchi zilifanyika chini ya kikwete, ajira na uwekezaji ulikuwa mkubwa
 
Hii tabia ya kusema raisi katoa fedha, raisi kajenga barabara, Raisi kanunua ndege, raisi katoa hela za madawa.......... Hivi hatuna system za kiserikali za kutoa fedha bila kumsisha presidents moja kwa moja
Munaumia sana kusikia neno raisi katoa, Swala la kipumabavu na hoja isiyo na msingi na manufaa ila ni nyege tu za wajenga hoja. Hizo pesa ni kwamba angeweza kuzifanyia allocation sehemu nyingine na pia mara ngapi hazijatolewa na hata msijue, mlihoji?. Hizi tabia za kijenga hoja kwenye hamna ni upuuuzi tu, Jambo lakuzingatia ni kwamba zinafika sehemu husika pasipo kujalisha ni nani kazitoa. Tuache upumbavu wa kujaribu kujenga hoja kwenye hamna, kujaribu kusema na kulalamika kwenye kila kitu ni dalili za upumbavu.
 
Kuna wakati tunajadili vitu au watu wasioweza kutusaidia. Sasa hapo mjadala juu ya Magufuli unalisaidiaje Taifa? Je, huyu ambaye hamchukii ameshamsaidia nini?
 
Zito Yuko sahihi kabisa, magu aliamini kwenye ubabe, zaidi rais ulimzuzua.
 
Raisi anafanya allocation ya fedha kumbe...... Bunge la bajeti linafanya nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na wa KUDEMKA anampenda sana.
Huyo unaye mdharau ana hekima maradufu ya jiwe.
 
Nilifikili kiongozi kumbe taperi lasiyasa haya mengine yanatakiwa yafilie mbali tz hatuhitaji watu kama zitto
 
Tangu lini Zitto akawa ni msomi kiasi cha kujua falsafa na .... Huyu ni mtu wa kutafuta maisha tu. Kichwani ni hoi kabisa!! Zaidi ni kusaliti wapinzani wenzake kwa kujiegemeza kidini. Kikwete anamsifu kwa umoja wao wa kishenzi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…