Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na wa KUDEMKA anampenda sana.
Pamoja na mkwere wanapendana Sana. Opportunism is inversely proportional to smart politics
 
Sisi tunaangalia kama alichosema ni fact, mambo ya kuaminika au kutoaminika hayatuhusu, hatutafuti baba paroko hapa
Kutopendwa yeye na JPM inakusaidia nn alitaka uteuzi? Au asikilizwe kila anachotaka? Hii nchi politicians wasipokuwa na maslahi na kiongozi aliyepo madarakani na kama hawanufaiki wanaongea sana
 
Kutopendwa yeye na JPM inakusaidia nn alitaka uteuzi? Au asikilizwe kila anachotaka? Hii nchi politicians wasipokuwa na maslahi na kiongozi aliyepo madarakani na kama hawanufaiki wanaongea sana
Kaulizwa swali kajibu
Labda kama una jibu lako tofauti, basi ungemtumtumia meseji. ili ajibu unavyotaka
 
Magufuri ndiye Rais na Waziri wa Ujenzi aliyejenga miundo mbinu mingi kuanzia kipindi cha Mkapa, Kikwete na hata Kipindi chake. Zitto watch out!
 
Mwenye kumuamini Zito ni mpuuzi, mtu alisha wahi kusema wanasiasa tusiwaamini bado utamuamini huyo zito wakati ni mwanasiasa!
Zzk ni mchumia tumbo tu hana lolote
 
Udini wa zitto upo wapi hapo? Kuna zitto alikuwa maarufu kuikosoa serikali kipindi gani?
 
Sisi tunaangalia kama alichosema ni fact, mambo ya kuaminika au kutoaminika hayatuhusu, hatutafuti baba paroko hapa
Nipo Mwandiga hapa wananchi wanasema hadi leo hawajui ni sababu gani ilimfanya Zzk kwenda kugombea ubunge Kigoma mjini?
 
Kutopendwa yeye na JPM inakusaidia nn alitaka uteuzi? Au asikilizwe kila anachotaka? Hii nchi politicians wasipokuwa na maslahi na kiongozi aliyepo madarakani na kama hawanufaiki wanaongea sana
Unapiga penyewe maana jamaa ndiye 11 ic wa zitto
 
Magufuri ndiye Rais na Waziri wa Ujenzi aliyejenga miundo mbinu mingi kuanzia kipindi cha Mkapa, Kikwete na hata Kipindi chake. Zitto watch out!
Tunamuhitaji zzk aje mwandiga ili tumuongezee charge maana tunaona ameanza kupoteza weledi.
 
Nimefuatilia comment 398 za Uzi huu na zaidi ya 90% comment za Uzi huu zimeonyesha kuwa watu hawajapenda mjadala wa mh zitto kabwe na salama j hii inaonyesha dhairi kuwa Hayati JPM alikuwa kipenzi na chaguo la watanzania
 
Amekuwa De+mu mpaka atake kupendw.pendw.!?
 
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati Magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika.

Kamfufue yule shetani wenu
 
Nimefuatilia comment 398 za Uzi huu na zaidi ya 90 comment za Uzi huu zimeonyesha kuwa watu hawajapenda mjadala wa mh zitto kabwe na salama j hii inaonyesha dhairi kuwa Hayati JPM alikuwa kipenzi na chaguo la watanzania
Kamfufue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…