Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Serikali wenyewe wanafurahia MagufuLi kuchaguliwa kwani wanaopanga hizo ratiba za kuchafua ni wapiga dilI akiwemi Zitto huku SSS AKIFUTAHIA KUMWAGIWA SIFA. LAKINI YA MUNGU MENGI..HUENDA UACHAFU WANAOMRUSBIA MWENDAZAKE UKAWARUKIA WAO
Andika vizuri
 
Nimefuatilia comment 398 za Uzi huu na zaidi ya 90 comment za Uzi huu zimeonyesha kuwa watu hawajapenda mjadala wa mh zitto kabwe na salama j hii inaonyesha dhairi kuwa Hayati JPM alikuwa kipenzi na chaguo la watanzania
Mawazo yako yatabakia kuheshimika
 
hata kama hayat alikosea ,lkn kwanini roho yake haipumziki

yapaswa tuache hili...si vzr kumsema marehemu
 
Alitaka apendwe hahhaha. Aingie chama cha Lisu watamdaka vizuriiiiiiiii
 
Hapo aliongea ukweli
 
Zitto alimchukia Magufuli kwa sababu alikuwa mkristo,Sasa hivi yupo ndugu wa Imani katulia tuli kama maji mtungini anajilia zake asali.
 
Yule jamaa alikuwa na chuki mbaya mno kwa wakosoaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…