Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Zzk ni mnafki mbona hakusema chochote wkt wa Jk walivyoumizwa akina Absalom Kibanda, Dr Ulimboka, mauaji ya Mtwara wkt wakipinga uvunaji wa gesi?
Mabomu ya kivita kwenye mkutano wa Chadema? Au wale hawana haki? Dr Mvungi? Alphonce Mawazo? Unajua sometimes hawa wanasiasa wanatuona punguani sana.
 
Zitto mjinga mjinga kweli ,wewe unasikia mtwara huko sijui polisi kauwa raia na kuchuwa pesa yeye anahaika na kiumbe kimeshajifia huko na kujipumzikia,hapa tunataka upinzani wa kweli na siyo huu uchwara nyambafu....!uje hapa utumbie madudu kwenye ripoti ya CAG Nini tukifanye kama wananchi unatuletea ujingaa hapa.
 
Hiyo tume ya kijaji ianze kwanza kuchunguza chanzo cha kifo cha mpendwa wetu JPM. Kwa yanayoendelea sasa na kauli hizi za ZZK, kuna namna anahusika au anawafahamu wahusika wakuu
Unashindana na Mungu wewe chawa wa jiwe?
 
Awamu ya 5 inaongoza kwa mabaya
 
Ametumwa na timu agosm...ili kuchafua legacy.

#MaendeleoHayanaChama
 
Zito kabwe anateswa sana na mimba ya Magufuli, ale ndimu zitamsaidia
Ok! Tumekuelewa. Lakini pia tusaidie pia kujua kwa nini mke mwenzio mama Janet(mjane wa Magufuli) amenawili(kanenepa) baada ya kufiwa na jiwe. MSAADA PLZ
 
Hii ya kukaa wiki USA huioni mkuu.Ya Magufuli yalishapita hayo.sema upo vizuri kuji position na kusoma upepo.
 
Poleni sana...
 
Si tulishafanya Maridhiano, yaliyopita si ndwele tugange yajayo🐒
 
Na iundwe tume huru ya kuchunguza mazingira ya kifo cha hayati John Pombe Magufuli.binafsi sijaridhishwa na maelezo juu ya kifo chake.
 
Tatizo nini? Mulishasema mbovu yake acheni wananchi waamue, wewe elezea mazuri yako tulinganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…