Mtikila nae vpKwanini tusianzie awamu ya nne tuchunguze uhalali wa kesi ya Babu Sea,Kuvamiwa na kupoteza jicho kwa Kibanda, kuteswa na kutupwa msituni kwa Dr Ulimboka na kifo cha utata cha Chacha Wangwe alafu baadaye tuamie awamu ya tano.
Kwahiyo Unapinga Tume isiundwe?? unataka kuficha nini?Mabomu ya kivita kwenye mkutano wa Chadema? Au wale hawana haki? Dr Mvungi? Alphonce Mawazo? Unajua sometimes hawa wanasiasa wanatuona punguani sana.
Hiyo itafata baadae? tuanze na hii kwanza.Na iundwe tume huru ya kuchunguza mazingira ya kifo cha hayati John Pombe Magufuli.binafsi sijaridhishwa na maelezo juu ya kifo chake.
Eh! Makubwa.Sasa wewe kama wanasiasa hawakuhusu unawasema wa nini?? Nenda kamseme Diamond? Alikiba na Konde boy huko ndio level yako.
Hana hoja huyo......Huyu naye ni mdini sn, haoni maovu ya awamu ya 6 sahivi
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao...
Ungeelewa na ungemshukuru Zito na usingesema huyu mdini kama yangekukuta au ndugu yako wa karibuHuyu naye ni mdini sn, haoni maovu ya awamu ya 6 sahivi
Kashajifia kisiasa,Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao...
Kwanini ulijenga kwenye hifadhi ya barabara?Mimi nilivunjiwa nyumba mbili na Utawala wa Magu, pale kibamba.
Hatukupewa hata kiwanja , bali vitu vuetu vilisagwa na kalandinga...
Wale wapemba hawakukamatwa na Magufuli.Walifungwa na Kikwete.Sasa inabidi kila Rais anayetoka ,tunaunda tume.Kwanini Zitto na chama chake akiwa kama mshirika wa serikali upande wa Zanzibar asifikishe hilo suala lake kwa Rais moja kwa moja...
Akili ya kipumbavu kabisa, kwa akili yako usalama wa Taifa wako above the law na wanaweza kufanya lolote hata kuua bila kuwajibika, hao maraisi au sijui usalama ugolo ni watu kama wewe na hawajakuzidi chochote na sheria zinawahusu pia ...you are a very weak man na kaa pembeni acha wanaojua haki zao wasimamie,umetia aibu sanaZitto alipopata fedha nyingi,akaziweka Dubai,alipewa na Serikali ipi,nimesahau?
Kwani wale walioua watu walikuwa hawajui kwamba wapo majaji katika nchi hii?...
Zamani sana alifukuzwa vikao vya bunge na malipo yake yote kwa sababu ya "kusema uwongo bungeni." Tukiwa wakereketwa wa CHADEMA wakati huo tukaombwa tumchangie; akalamba dola mia yangu kama mchango wangu kwake kwa kudhani kuwa kaonewa. Inawezekana kweli alikuwa kasema uwongo, sasa ndiyo nimemwelewa. Kale ka mia kangu ni afadhali ningekwenda kunywa mataputapu tu.Ndumilakuwili tambala la deki liko kazini
Ni jambo la busara sana kuwa na Tume kama hiyo.Zitto mjinga mjinga kweli ,wewe unasikia mtwara huko sijui polisi kauwa raia na kuchuwa pesa yeye anahaika na kiumbe kimeshajifia huko na kujipumzikia,hapa tunataka upinzani wa kweli na siyo huu uchwara nyambafu....!uje hapa utumbie madudu kwenye ripoti ya CAG Nini tukifanye kama wananchi unatuletea ujingaa hapa.
Tuanzie na awamu ya Mwinyi,wasiojurikana walimuua Stanslaus Katabaro alikuwa mwandishi wa habari.ikibidi tuchunguze mauaji yote tangu enzi Mwalimu na karume,watu kibao walipotezwa kwenye harakati za mapinduzi,na uhujumu uchumiKuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU
I repeat a call for a commission of inquiry, to headed by a retired Judge of Court of Appeal, on atrocities committed during the tenure of J P Magufuli administration. All Killings, abductions, disappearance of people, trumped up charges of money laundering MUST be investigated
Kwani simjui?Ungeelewa na ungemshukuru Zito na usingesema huyu mdini kama yangekukuta au ndugu yako wa karibu
Ni tapeli la kisiasaHana hoja huyo......
Huyaoni? vitu kupanda bei hovyo hovyo, watu wameanza kupotea kama awamu ya 5Tuwekee hayo maovu ya Awamu ya 6
Mtu wa chini ni ngumu kuelewa, ila hakuna Rais yoyote yule atakaeachia kiti chake bila kuwa na damu za watu kwenye mikono yake.Naunga mkono hoja. Magufuli na genge lake waliua watu wengi sanaaa