Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Kama kuna watu waliteswa na kuumizwa lazima tume ya uchunguzi iundwa.Kumjadili Zitto badala ya hoja yake ni upungufu wa akili au upeo mdogo wa kufikiri.Zitto yupo sawa kwenye hili.
Malalamiko ni mengi tume iundwe kweli rejeeni mkutano wa TCD.Wachangiaji wengi walikosoa mwenendo wa uchaguzi kwa kutoa mfano wa Watanzania wenzetu kuuawa na kuteswa kwa ajili ya uchaguzi.Hivyo basi mambo haya yanalalamikiwa na wengi.Lema aliwahi kueleza mateso waliyopitia baadhi ya watu ktk siasa.
Lazima wafanyaji wa ukatili huu wafahamike.Hofu ni nini.
 
Zitto ametokewa na mzimu wa magufuli nini....
 
Nimeshakaa pembeni. Season one ya Magufuli imeisha. Tunasubiri season two ya Samia. Hatumwi mtoto dukani. Mimi nitakaa pembeni.
 
Iongozwe na nani? Kina Mukandala au Mahela?? Au prof wa kinyesi cha ng'ombe?
 
Bora ungeenda kunywa ka Bia tu huyu mwehu sio wa kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…