Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Kama kuna watu waliteswa na kuumizwa lazima tume ya uchunguzi iundwa.Kumjadili Zitto badala ya hoja yake ni upungufu wa akili au upeo mdogo wa kufikiri.Zitto yupo sawa kwenye hili.
Malalamiko ni mengi tume iundwe kweli rejeeni mkutano wa TCD.Wachangiaji wengi walikosoa mwenendo wa uchaguzi kwa kutoa mfano wa Watanzania wenzetu kuuawa na kuteswa kwa ajili ya uchaguzi.Hivyo basi mambo haya yanalalamikiwa na wengi.Lema aliwahi kueleza mateso waliyopitia baadhi ya watu ktk siasa.
Lazima wafanyaji wa ukatili huu wafahamike.Hofu ni nini.
 
Zitto ametokewa na mzimu wa magufuli nini....
 
Akili ya kipumbavu kabisa, kwa akili yako usalama wa Taifa wako above the law na wanaweza kufanya lolote hata kuua bila kuwajibika, hao maraisi au sijui usalama ugolo ni watu kama wewe na hawajakuzidi chochote na sheria zinawahusu pia ...you are a very weak man na kaa pembeni acha wanaojua haki zao wasimamie,umetia aibu sana
Nimeshakaa pembeni. Season one ya Magufuli imeisha. Tunasubiri season two ya Samia. Hatumwi mtoto dukani. Mimi nitakaa pembeni.
 
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU

I repeat a call for a commission of inquiry, to headed by a retired Judge of Court of Appeal, on atrocities committed during the tenure of J P Magufuli administration. All Killings, abductions, disappearance of people, trumped up charges of money laundering MUST be investigated


Iongozwe na nani? Kina Mukandala au Mahela?? Au prof wa kinyesi cha ng'ombe?
 
Zamani sana alifukuzwa vikao vya bunge na malipo yake yote kwa sababu ya "kusema uwongo bungeni." Tukiwa wakereketwa wa CHADEMA wakati huo tukaombwa tumchangie; akalamba dola mia yangu kama mchango wangu kwake kwa kudhani kuwa kaonewa. Inawezekana kweli alikuwa kasema uwongo, sasa ndiyo nimemwelewa. Kale ka mia kangu ni afadhali ningekwenda kunywa mataputapu tu.
Bora ungeenda kunywa ka Bia tu huyu mwehu sio wa kuamini.
 
Back
Top Bottom