Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tulia weweJibu hoja zake, then anzisha uzi wako juu ya udini wa zito!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweJibu hoja zake, then anzisha uzi wako juu ya udini wa zito!!
Tumekusikia, haya jibu hoja zake then anzisha uzi juu ya hiyo mimba!!Zito kabwe anateswa sana na mimba ya Magufuli, ale ndimu zitamsaidia
Tulia wewe
Nimeshakaa pembeni. Season one ya Magufuli imeisha. Tunasubiri season two ya Samia. Hatumwi mtoto dukani. Mimi nitakaa pembeni.Akili ya kipumbavu kabisa, kwa akili yako usalama wa Taifa wako above the law na wanaweza kufanya lolote hata kuua bila kuwajibika, hao maraisi au sijui usalama ugolo ni watu kama wewe na hawajakuzidi chochote na sheria zinawahusu pia ...you are a very weak man na kaa pembeni acha wanaojua haki zao wasimamie,umetia aibu sana
Iongozwe na nani? Kina Mukandala au Mahela?? Au prof wa kinyesi cha ng'ombe?Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU
I repeat a call for a commission of inquiry, to headed by a retired Judge of Court of Appeal, on atrocities committed during the tenure of J P Magufuli administration. All Killings, abductions, disappearance of people, trumped up charges of money laundering MUST be investigated
Bora ungeenda kunywa ka Bia tu huyu mwehu sio wa kuamini.Zamani sana alifukuzwa vikao vya bunge na malipo yake yote kwa sababu ya "kusema uwongo bungeni." Tukiwa wakereketwa wa CHADEMA wakati huo tukaombwa tumchangie; akalamba dola mia yangu kama mchango wangu kwake kwa kudhani kuwa kaonewa. Inawezekana kweli alikuwa kasema uwongo, sasa ndiyo nimemwelewa. Kale ka mia kangu ni afadhali ningekwenda kunywa mataputapu tu.