Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Hakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi
Hivi wewe umewezaje hata kujiunga humu JF!?

Binafsi nina mashaka hata kama unaweza ku-log in leave alone kujadili hoja yoyote ndani ya JF hata zilizopo majukwaa kama Mapenzi n.k.
 
Wewe unayeropoka hapa una ushahidi gani kama ndege hazina kutu!?

Mzee wa Chato alitupiga sana kwa kuvuta ndege za mtumba halafu akadanganya wanyonge wa Tanzania kwamba ndege ni brand new.

Ila haina shida Mungu AMEAMUA ugomvi.
 
Wewe unayeropoka hapa una ushahidi gani kama ndege hazina kutu!?

Mzee wa Chato alitupiga sana kwa kuvuta ndege za mtumba halafu akadanganya wanyonge wa Tanzania kwamba ndege ni brand new.

Ila haina shida Mungu AMEAMUA ugomvi.
Nyinyi msiokuwa wanyonge mlikubali vipi kudanganywa na usomi wenu?
 
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.

..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Ndio shida ya watanzania mtu kukubali au kukataa hoja inategemea na nani amesema sio context ya kilichosemwa
 
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.

..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Unajua tatizo Kuna watu walikuwa wameshamfanya magufuli kama Mungu vile pia hawataki baya lake lisemwe hivi hata ukinunua tipa ya mchanga mpya ndani ya miaka mitano likipiga kazi hutakuta limepata kutu licha ndege tukubali ndege zilikuwa mitumba Bora mama kawa mkweli kwenye mabehewa na vichwa vya traini watu tumemwelewa ila msidanganye watu wazima gari jipya utalijua tu
 
Mali ya urithi isipoendelezwa halaumiwi marehemu, Bali warithi ndo huonekana hawana maarifa ya kutosha kuendeleza Mali hizo.
 
Kwa hiyo kitu kikiwa kipya ndio hakiharibiki au hakihitaji maintenance. JPM alifanya yake na hakuwa na siasa za maneno maneno kaacha vitu vingi alivyovifanya ambavyo vizazi na vizazi vitashuhudia na pia kaacha clip nyingi ambazo ziko mitandaoni watu wataziangalia miaka nenda rudi kama kumbukumbu.

Sasa badala ya wanasiasa hasa wa upinzani kufanya vitu watu waone wao wanasambaza maneno na propaganda ambazo haziwezi kulisaidia taifa. Watu wamekuwa wabunge miaka mingi na ruzuku wamepata lakini majimboni kwao hakuna legacy yeyote walioacha zaidi ya maneno leo wanasimama kuua legacy ya mwamba kitu ambacho ni kigumu kweli kweli.
 
Hana hojo nyingine mara terible teen , mara zinakutu .zitto anajifanya haoni yanayoendelea hapa kwa mama au ni kwa vile naye amelambiahwa asali
 
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.

..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Kazipeperushe basi anayepaswa kulaumiwa ni serklali iliyopo kushindwa kiziendesha .
 
Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Ndege mpya zina kutu inamaana tulipigwa sana
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Kundi la wajinga hasa wanashangilia kuziground ili wamnyooshee kidole marehem ni ujinga wa kiwango cha juu sijawahi kuona
 
Mwafrika ndio mtu pekee anayepinga maendeleo ya nchi yake lakini yuko tayar kwenda kuishi nchi za nje zenye maendelo mazuri yaliyotafutwa kwa jasho ma dama na raia husika.
 
Huyu jamaa ni mdini!!??
Wakati Magu yupo zilikuwa zinaruka. Magu hayupo haziruki. Unafikiri sisi ni wajinga. Propaganda zako kawadanganye mafala
Ndege zinamwagiwa maji pale kumbe ni bosheni tu sasa zina kutu balaa ni madege makongwe yasiyotengenezeka
 
Onge
5. Kama ni mpya na wew unafuata tu upepo ?
 
Mpumbavu wewe.

Utakufa maskini na omba omba wa fedha haramu.
 
Kituko anayemkataza mwingine kuongea kwa hisa ndo anaongea kwa hisia tupe basi hiyo picha kuonyesha shedude maintanance was done according
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…